Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Na ukiendelea kufanya tendo la ndoa mumeo ilihali sio baba wa Kiumbe hicho ataweza kusababisha ujifungue mtoto Mwenye mabaka meusi kwa sababu ya shahawa za mumeo zinakuwa zinaunguza mfuko wa mimba kwani hizo hazitakuwa rutuba kwa Huyo mtoto ila endelea kumpa uroda msaficha kucha ili aendelee kutoa rutuba kwa Mwana huyo kwani ndio muhusika wa ujauzito

Mkuu acha kudanganya wewe. Mimba ikisha ingia hakuna rutuba yoyote itayotoka kwenye shahawa. Mkuu hujasoma Biology hata ya kidato cha 4?
 
Mkuu acha kudanganya wewe. Mimba ikisha ingia hakuna rutuba yoyote itayotoka kwenye shahawa. Mkuu hujasoma Biology hata ya kidato cha 4?
Wewe sasa ndio unapotosha umma shahawa zina protein kibao
 
Hatari Sana unajuwa ashaona bikini ngapi naakazi Sifia tu, umemuamini vipi msafisha kucha Dada una hatari ya kuuwa mume wako, hujatuliya
 
Mambo kama haya ndo yanatufanyaa wengi tusiwaze mambo ya kuoa
 
Ndoa yenyewe miaka minne lakini una watoto watatu, wewe ni mashine ya kutotoa kww hiyo zaa tu na ikiwezekana unipe na mimi tuzae wote mtoto wa tano
 
Usaliti uliomfanyia mume wako Mungu atakulipa ww mwanamke usiye na hata tone la huruma kwa mumeo afu mume anajua mimba ni yake!!! Daah Mungu atakulipa
 
Wanawake hawa wanaumiza ndoa zao sana. Mwanamke ni kiumbe dhaifu kwa kila kitu. Ni mama zetu wametuzaa na tunawaheshimu sana lakini weka mbali na watoto.

Wanaume ndio chanzo cha wake zao kumegwa kila siku. Hasa mambo yakuiga iga umagharibi. Na mwanamke akimuona mwenzake hajishighulishi na huo ulimbukeni ataonekana mshamba sana, ila yeye akipapaswa unyao nerves zote zinahamia chini ya kitovu mvutuni kwa juu kidogo.

Enyi wanaume mnaojifanya wamamtoni na wake zetu wanaweka mikucha kama wachawi wa giningi, mwanamke kila kitu alichonacho ni fake, kwanini msiwe kama muumba alivyo waumba?

Wanaume tuna hasara sana
 
Ndoa yenyewe miaka minne lakini una watoto watatu, wewe ni mashine ya kutotoa kww hiyo zaa tu na ikiwezekana unipe na mimi tuzae wote mtoto wa tano
Soma taratibu Mkuu. Hujanielewa kabisa hapo
 
Back
Top Bottom