Makonda awaponza Star Tv na Sahara Media mbele ya TEF

Weka hapa screenshot ya tangazo la Vodacom kutoka kwenye ule uchafu unaoita blog kisha uweke na link yake hapa!!!

Halafu watu wakikulipia nauli unadhani wanakuona ni very special kumbe wanafanya hivyo ili uwe kivutio!!! Hivi wewe una nini cha maana cha kukufanya mtu akulipie nauli?! Kichwani, hazipo! Blog yako mbovu na wala haina sifa za blogs kwa wanaofahamu masuala ya blogging! Instagram page yako hakuna cha maana unacho-post zaidi ya ujinga!! Halafu kama unaona mtu au taasisi wanakulipia nauli hujiulizi wanafuata nini kwako?!

upload_2017-5-19_21-8-41.jpeg

- hahahahahaha mkuu mimi sio mada naona unanitoa kwenye mada, mada hapa ni hapa kipindi cha Jumatatu cha RC kitarushwa nakuuliza unao ubavu wa kukizuia?

- Ukitaka kunijadili mimi na my blog fungua thread hii haihusu hii nakuleteea yanayohusu kipindi Jumatatu tu hahahahahahah

le Mutuz
 
Weka hapa screenshot ya tangazo la Vodacom kutoka kwenye ule uchafu unaoita blog kisha uweke na link yake hapa!!!

Halafu watu wakikulipia nauli unadhani wanakuona ni very special kumbe wanafanya hivyo ili uwe kivutio!!! Hivi wewe una nini cha maana cha kukufanya mtu akulipie nauli?! Kichwani, hazipo! Blog yako mbovu na wala haina sifa za blogs kwa wanaofahamu masuala ya blogging! Instagram page yako hakuna cha maana unacho-post zaidi ya ujinga!! Halafu kama unaona mtu au taasisi wanakulipia nauli hujiulizi wanafuata nini kwako?!
Siku moja itabidi tumfananishe chige na Remutuzzz najua watu wataniambia niache kumfananisha remutuz na vitu vya kijinga. Hata kama anafanya hayo lakini nani anae kufahamu wewe kijana . maisha yanambinu nyingi kama ameyapatia ameyapatia tuu
 
Wengine Mabashite kweli ati rais wa 2025 kweli akutukanaye hakuchagulii tusi Bashite awe Rais wa Tz?
 
- hahahahahaha ila hicho ki blog kinaajiri vijana 5 waliomaliza Vyuo Vikuu vya Tanzania, yaani kinatoa ajira na wewe unaajiri watu kwenye hayo matusi yako au what? hahahahahahahahhaha

le Mutuz
Kwa taifa lisilo na ajira kama hili, who cares so long anapata pesa ya sabani!!! Weka screenshot za malipo yao kwenda social security funds....
 
Bashite kila akijaribu kusimama anakula za uso kutoka kwa wanahabari mpaka akae na anavyopenda kuuza sura. Gambo kifungo kinanukia ndio maana polisi waliwapa lifti wanahabari pale Luck vicent..
Yaani mimi ninunue vifaa vya matangazo
Nilipe wafanyakazi
Nilipe kodi ya serikali
Alafu aje mtu anipangie nifanyeje kazi yangu!wakati sijafunja Sheria ya nchi?!!
Kweli huo utakuwa zaidi ya ulofa!
 
- Unataka nikuwekee na picha ya Shamba na Nyumba yangu Mbweni? hii niliyokuwekea ni ya mjini tu hahahahahahaha leo wafwa kudadeki mmezoea kutisha wajinga wacha wewe weka ofisi yako tuone kama unayo hapa mjini! hahahahahahhaha

le Mutuz
Hizo ulizoweka nilikutuma uweke?! Utahangaika sana kujaribu ku-prove mafanikio yako na unafahamu ni kwanini unalazimika kuhangaika kufanya hayo!!!!
 
Pale mzee mzima anapotaka kuoneshana na wajukuu zake, we hizo mali ulivuna wewe au jasho la wazazi wako?
 
Back
Top Bottom