Recent content by Sam E

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Hilo pepo ulilonalo hata Yesu atapata shida kuliondoa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naamini atakachofanywa North Korea na Marekani kitakuwa ni Funzo ulimwenguni

    Marekani hawezi kufanya chochote kwa N.Korea. China hawezi kuruhusu marekani kusogea hapo na ukumbuke nyuma ya china kuna Russia.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hii katuni ya Kipanya hatari, sio kwa mbeleko hii

    Haiko tu nyuma ila ishafyatua risasi zote zimeisha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ongezeko hili la upasuaji wakati wa kujifungua linasababishwa na nini?

    Kul Tatizo wanakulakula mno vichipsi. Hawana nguvu za kusukuma mtoto..
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mkuu wa Wilaya ya Kasulu avuliwa ukuu wa wilaya na kurudishwa kazi ya awali jeshini

    Huo siyo uhamisho. Let's be realistic. Amefukuzwa kazi. Full stop
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bashe karibu CHADEMA, una akili za ki-CHADEMA

    Bashe is a man among men. He refuses to walk naked among madmen. Namkubali sana.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, naomba Prof. Prosper Ngowi mteue awe Mshauri wako wa Uchumi

    Kwanza nikupongeze kwa insight hii. Tatizo moja tu; wanasiasa hata wakikuteua uwashauri watakuchagulia eneo LA kuwashauri. Ushauri wangu, Prof. Prosper aendelee kushauri kupitia ITV na machapisho yake. Kama hawatautumia waache. And when the President writes a letter of appointment,Ngowi should...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akiamua kuwa Rais wa maisha kuna wa kumzuia?

    Labda akatawale sudan
  9. S

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama British Empire: Inabadilika na wakati, haifi ng'o!

    Very unfortunate that the British empire collapsed with colonialism.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali haina budi kuvizuia vikundi vya kidini kujihusisha na siasa

    Politics na religion vinafanana fanana
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe: Hatuwezi kuruhusu TLS kujiingiza kwenye siasa

    Wanasheria wawe na msimamo sasa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Patamu apo.. Lakini mwishoni Leo (ITV) Tyson ameonekana anamkwida Linc.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nina ugonjwa wa kumtamani kila mwanamke ninayemuona,,naombeni ushauri

    Chukua bisibisi. Inoe Inoe Inoe iwe kaaalii. Toboa macho yote mawili. No more problems.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Kibonde wa Clouds FM ni hatari kwa redio hiyo

    Kwani Kibonde na Gwajima wanatofauti yoyote? Kibonde ni chizi kuzidi Gwajima.
Back
Top Bottom