Kama napaona double H mi na shost yangu tushawahi kukimbiwa ila tukaja kumkamata maisha club na binamu yake ilibidi rafiki yangu avunje mkataba maana alishazoea kumtapeli rafiki yangu
Kweli wanaume mko tofauti mi mwanangu ana 5yrs now tangu ana mwaka mmoja na miezi mitatu anahudumiwa na baba wa kufikia kuanzia kula yake,vaa yake mpaka shule anasomeshwa na baba wa kufikia na baba yake yupo hai na ana kazi nzuri kuliko huyu babaake wa kambo anachojua yeye kutuma hela ya nguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.