gwakipanga
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 794
- 638
Nilisoma na jamaa mmoja anatumia mkono wa kushoto na mguu wa kushoto. Jamaa alikuwa kilaza hakuna mfano ila uwanjani ndiyo ilikuwa winga ya kushoto yakutegemewa. Kwa mtazamo wangu kuwa na akili darasani ni kipaji na malezi.