jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
- Thread starter
- #41
binti sayuni unaniboalipa ada mkuu shule zimefungua mtoto asije kosa masomo hakikisha unamfanyia shopping ya mahitaji ya shule
binti sayuni unaniboalipa ada mkuu shule zimefungua mtoto asije kosa masomo hakikisha unamfanyia shopping ya mahitaji ya shule
binti sayuni unaniboa
hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa jembe la afrika linaogopa mizingaAfadhali ninaye kuboa kuliko wew unaeniangusha au huelewi maana ya kupenda boga na ua lake hahaaaaaa mkuu uliyataka
Kweli wanaume mko tofauti mi mwanangu ana 5yrs now tangu ana mwaka mmoja na miezi mitatu anahudumiwa na baba wa kufikia kuanzia kula yake,vaa yake mpaka shule anasomeshwa na baba wa kufikia na baba yake yupo hai na ana kazi nzuri kuliko huyu babaake wa kambo anachojua yeye kutuma hela ya nguo za sikukuu tu na akija dar kumuona mwanae ananirubuni eti tuongeze mtoto wa kike hataki kuzaa na wanawake tofauti anapenda starehe akija ni twende club hela utakayotaka utapata ila akiondoka hakumbuki chochote kuhusu mtoto mi nipo kwetu ila namshukuru sana bwana niliyenae kwa matunzo mazuri ya mwanangu japo sijazaa nae
this is too much asipolipa anatenda dhmbi? lol
yaan inaonyesha wewe ni malaya tu,hicho ndo nin sasa.so whatKweli wanaume mko tofauti mi mwanangu ana 5yrs now tangu ana mwaka mmoja na miezi mitatu anahudumiwa na baba wa kufikia kuanzia kula yake,vaa yake mpaka shule anasomeshwa na baba wa kufikia na baba yake yupo hai na ana kazi nzuri kuliko huyu babaake wa kambo anachojua yeye kutuma hela ya nguo za sikukuu tu na akija dar kumuona mwanae ananirubuni eti tuongeze mtoto wa kike hataki kuzaa na wanawake tofauti anapenda starehe akija ni twende club hela utakayotaka utapata ila akiondoka hakumbuki chochote kuhusu mtoto mi nipo kwetu ila namshukuru sana bwana niliyenae kwa matunzo mazuri ya mwanangu japo sijazaa nae
yaan inaonyesha wewe ni malaya tu,hicho ndo nin sasa.so what
aisee nasepa
hawezi nielewa matokeo yake nitakosa na papuchiUsisepe sababu ya ada unless uniambie umemchoka tu dada wa watu, kama unaweza msaidei kama huna just tell her kwamba huna, kama ni muelewa atakuelewa
povu linakutoka kweliUmalaya hata wewe ni malaya mwenzangu hujalazimishwa kusoma na huwezi kinipangia chochote cha kuandika shwaini wewe
Hivi siss umekielewa ulichoandika? Umenisononesha hata mie mwanamke mwenzio!
Sorry to say that!
Hivi siss umekielewa ulichoandika? Umenisononesha hata mie mwanamke mwenzio!
Sorry to say that!
wanawake wamekuwa wasanii sana.Mwanamama mjasiriamali huyo. Anaweza akawa anavuta fungu la kumuhudumia mtoto toka kwa mzazi mwenza na bado akachukua kwako vile vile.
Kama umekula papuchi na inalipa kama ya Zari Platinumz hudumia tu, kama hailipi sikushauri...
Kweli wanaume mko tofauti mi mwanangu ana 5yrs now tangu ana mwaka mmoja na miezi mitatu anahudumiwa na baba wa kufikia kuanzia kula yake,vaa yake mpaka shule anasomeshwa na baba wa kufikia na baba yake yupo hai na ana kazi nzuri kuliko huyu babaake wa kambo anachojua yeye kutuma hela ya nguo za sikukuu tu na akija dar kumuona mwanae ananirubuni eti tuongeze mtoto wa kike hataki kuzaa na wanawake tofauti anapenda starehe akija ni twende club hela utakayotaka utapata ila akiondoka hakumbuki chochote kuhusu mtoto mi nipo kwetu ila namshukuru sana bwana niliyenae kwa matunzo mazuri ya mwanangu japo sijazaa nae
Ona sasa..! Then uniambie nioe mdada alozalishwa na kidume mwingine..! Khaa....jamaa likija Dar linamega kiulani, huku jamaa na kipato chake kidogo analea malaya..!
Pumbafu kabisa..!
Nimeingia kwenye uhusiano na mdada mmoja alikua ameolewa sasa ameachana na jamaa yake na walibahatika kuzaa mtoto mmoja, sasa huyu dada haishi na mtoto, mtoto yuko kwa bibi yake Kijijini, nimekua namhudumia kwa kila kitu ni kama UN inavyohudumia wakimbizi na mimi nimekua nahudumia kila kitu.
Hivi Juzi kanieleza mtoto kafukuzwa shule ada inahitajika, sasa nikajiuliza inakuaje nitoe ada tena na baba wa mtoto yupo wadau hii imekaaje? Yaani hadi hamu ya papuchi imeisha p.umbu zote zimeingia ndani mi inabidi nile kona nisije nikafa siku si zangu maana hii mizinga ya syria imenishinda.