Vi-Bajaji vya Mohammed Enterprises vina kelele mno!

Maji ya METL huwezi kunywa yakiwa ya moto, inabidi unywe ya baridi ili ule ubaya wake usiusikie sana. METL sio kama AZAM au IPP, METL kamwe hawezi onyesha jinsi viwanda vyake vya chakula au vinywaji vinavyofanya kazi

Kabisa mkuu mfn mdogo angalia mazingira ya kiwanda chake kilichopo tangbovu yan kama shamba flani hivi,hayo ma bajaza dereva akiliendeshe miez 6 lazima apate tatizo la masikio,kelele,mzgo mkubwa na usiombe kikae mbele yko!!haipiti siku ukakikosa kimoja kimeharibika mliman njia panda kawe!
 
vile vi-canter vyake vya kichina kila siku spanner mkononi..!
 
Wagalatia mna chuki na Mali za waislam yaani hamna raha kabisa maskini wee sasa mbona mtapata presha za milele maana waislam ndio tunaoshikilia uchumi Wa nchi hii

Ila Bahresa ndo kawafunga midomo hamna la kumrudisha Nyuma bado kidogo tu ataanza kuwauza mpaka nyie wagalatia chezeaa

Ingekuwa vinamilikiwa na bwana machache wote mngevipenda humu ila kwasababu tu mmiliki ni Mohammed baasi

Kweli kuna watu na 'ndula' wewe ni kundi hilo la pili
 
Hiyo bongo fafa fafa
Dar es salaam scatter scatter
Gunshot inna di air

To the tune of E-One
 
Jaman eeeh me huwa natumia MoShuga; mnantisha

Acha kabisa, hiyo more sugar ni industrial sugar (too chemical) for making juices pipi na takataka nyingine za ovyo ili kuuwa watu, matatizo ya uzazi na cancer huyu ni agent mkuu.
 
Aisee umeongea point mkuu..!
 
Tafadhali naomba utupie hako kapicha humu.., nilikuwa nakatafuta sana..

bajaj.jpg

bajaj1.jpg

:msela:
 
Acha kabisa, hiyo more sugar ni industrial sugar (too chemical) for making juices pipi na takataka nyingine za ovyo ili kuuwa watu, matatizo ya uzazi na cancer huyu ni agent mkuu.
jamaa vitu anavyo zalisha na kuuza yeye mwenyewe havitumi kabisa, bidhaa zake vina chemical sanaa
kama bakhresa tu
 
Wagalatia mna chuki na Mali za waislam yaani hamna raha kabisa maskini wee sasa mbona mtapata presha za milele maana waislam ndio tunaoshikilia uchumi Wa nchi hii

Ila Bahresa ndo kawafunga midomo hamna la kumrudisha Nyuma bado kidogo tu ataanza kuwauza mpaka nyie wagalatia chezeaa

Umewaza mbali sana ndugu ebu acha siasa za mtaani
Kitu kama kina makosa kuwa reality
 
Sivioni tena mjini sijui alivipeleka wapi
 
Back
Top Bottom