Recent content by salvatory19

  1. salvatory19

    Simba SC Kocha Amunike ametubipu sasa Sisi tumpigie kwa style hii ili ajue kwamba Simba SC ni zaidi ya Yeye Wakuja na Mshamba tu!

    syo siri kwa hili kocha amekurupuka ni bora angewachukua hata awaweke bench sasa hapo keshaigawa starz aambiwe tz kuna simba na yanga japo hakuna maendeleo
  2. salvatory19

    Zitto: Kama Rais anaona Bunge ni kikwazo kwake, tufanye uchaguzi upya. Hii si Gangsters Republic

    Uloho wa madaraka ndio mkwamo wa kuungana kua chama kimoja cha upinzani
  3. salvatory19

    Mwanaume akikutongoza muangalie usoni

    [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  4. salvatory19

    Jerry Muro amtukana mwandishi wa habari mwanamke

    waandish nao wanatafta kick tu mbona jery alipokua mwaandish ametukanwa sana hajalalamika tatzo badala ya kuulza kilicho kupeleka unaulza mambo binafs ya nini hayo mambo binafs angemuulza mhusika
  5. salvatory19

    Kamishna Kova: Tumekamata watuhumiwa wa ujambazi zaidi ya 38 wakiwa na silaha

    hapo mi cdanganyiki waungwana maana habar yenyewe ipo kiaina kipindi kile wana inchi wamechachamaa kuhusu umeme mkatuletea loliondo kikombe sasa mambo ya uchaguzi mnaleta habar za ujambaz mara 170ml hatudanganyiiiiiiiiiiiiki
  6. salvatory19

    Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    nakumbuka alisema amekamatwa kiongozi wa panya load akamtaja na jina kumbe kijana wa watu ni mfanya biashara ya viatu karume kova aspende siasa kwenye maisha na roho za watu
  7. salvatory19

    FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

    sandwich ndio nini? Wajamen nataka na mimi nipande ndege. Juchupresenter
  8. salvatory19

    Sattelite na Frequency mpya za ITV

    Oya waungwana hawa itv na wenzie wa ktanzania wamesepa sa itakuwaje?
Back
Top Bottom