Sattelite na Frequency mpya za ITV

Sattelite na Frequency mpya za ITV

Kwkwikwiiii!! Pole maamuma, lakini nahisi unazani ukibonyeza bonyeza utaharibu!!! haya madudu hayajaumbwa delicate kihivyo, vinginevyo ingekuwa yameharibikia hukohuko!!! mie nilibonyeza bonyeza hadi ikakubali!!!
Asante sana Mkuu NasDaz. Hatimaye nimepata! Nimebonyeza bonyeza hadi nikafanikiwa! Laiti ungeniona wakati nilipopata.....ah, nilijiona mshindi. Kwakweli usichokijua ni usiku wa giza.
Shukrani kwa wote waliotoa msaada wa maelezo hapa JF. M'barikiwe.
 
WANA JAMII bado nahitaji msaada wenu.sijafanikiwa kurekebisha hii kitu.sion hiyo satelite 906 naona 707 ku na 902 ku,nisaidieni jinsi ya kubadili hii satelite.

I am well facing the same problem. Jamani naombeni mwenye kujua jinsi ya kufanya settings kupitia Receiver ya STRONG atusaidie...! Please please...!
 
Mimi nilidhani mnaongelea suala la wiki moja iliyoisha baada ya ITV kuwa inasumbua sana kumbe mnaongelea suala la symborate zilizobadilishwa miaka miwili iliyopita kipindi cha hivi karibuni kama miezi minne iliyopita walichokuwa wanatangaza ni kukumbushia tu.
 
ITV/EATV imepotea kabisa kwenye Dish la STarTimes Nilisikia matangazo kwamba wanahama frequency,kwa anayezijua atujuze,nimefanya autosearch sijapata channnel hata moja.
 
Back
Top Bottom