Jerry Muro amtukana mwandishi wa habari mwanamke

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,969
Msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro amaemtukana mwandishi wa habari wa kike na kumdhalilisaha kijinsia baada ya mwandishi huyo kumuuiza kuhusu habari za mapumziko ya kocha wa Yanga,
na kumuuliza kama anataka akapumzike naye wakati kocha ana mke na watoto




Hii sio habari ya michezo ni habari ya kijamii inayohusu mwandishi wa habari kudhalilishwa moderator msiihamishe jukwaa plz
 
Waandishi wetu hawa wa shi kumi kumi wanahitaji maafisa habari kama Jerry Muro. Maswali ya michezo hawana, wana maswali ya maisha binafsi ya watu. Mmezoa sana, mkikutana na Diamond msimuulize kuhusu muziki, mnamuuliza sijui Zali ana bwana mwingine, mara Wema sijui kabeba mimba ya nani......ukitaka asali vumilia miba ya nyuki.

Tujipange kitu cha kuhoji, sio kila mtu ana akili ya kujibu kwa busara.
 
Hivi kuwa mwanamke is a crime !!we still have a long way to go,but its a world crisis I guess.
 


Umesoma diploma ya jonalizimu, Mara moja unamtafuta Jerry Muro (nguli wa tasnia ya habari) ili ufanye mahojiano naye kwa kumuuliza maswali ya kipuuzi...

Ni lazima akutukane.....


Huyo mtangazaji mwanadada ni mpuuzi sana. Alistahili kujibiwa kama alivyojibiwa.


Bila sababu mathubuti huwezi kuuliza Jerry Muro habari za maisha binafsi na ya kifamilia ya Kocha Hans Van De Pluim
 
this is blasphemy for journalism. huyu jamaa ni mpumbavu sana. mshenzi hasaaaaa. it is utmost disrespect for women and profession. well tutaona waandishi wa habari watafanya nini, kama watakaa kimya basi matusi ya muro ni sawa sawa yao. #jerrymurohafai
 
waandish nao wanatafta kick tu mbona jery alipokua mwaandish ametukanwa sana hajalalamika tatzo badala ya kuulza kilicho kupeleka unaulza mambo binafs ya nini hayo mambo binafs angemuulza mhusika
 
Sasa huyo dada anauliza mapumziko ya kocha ili iwaje, kwa mfano angemwambia anaenda bagamoyo, what next?
 
Swali lenyewe la kipuuzi, sidhani kama alikuwa na sababu ya kumuhoji Jerry. Issue ya mtu binafsi angemuuliza kocha mwenyewe na siyo Jerry.
 
Back
Top Bottom