Kwa mtu ambae hayajamkuta atakubeza lakini Mimi yalishanikuta hayo nikabembeleza tukashirikisha wazazi,tukaenda Hadi kwenye mabalaza ya usuluhisho lakini wapi mwanamke akibadilika huwezi kumnyoosha tena nilipiga sana makofi lakini wapi nikaja kugundua kuwa alidanganywa na makundu kunifanyia...
Ndio maana nimesema hujielew wapi aliposema tundu lisu kuwa anaunga mkono ushoga?nyie ndio mnatengenezewa propaganda kwakuwa ni wajinga..utabaki kuitwa mkulima hivyo hivyo...jitambueni upo gizani
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.