Samwel Sitta ni nani katika Nchi hii ya watu 45 Milion

Samwel Sitta ni nani katika Nchi hii ya watu 45 Milion

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
4,815
Reaction score
2,832
Nadhani wengi wetu tunafuatilia mchakato wa katiba mpya, na Kikao cha TCID na Rais Kikwete, na uamuzi uliofikiwa wa kusitisha mchakato wa katiba mpaka 2015. Lakini kuna mtu anataka kutuletea vurugu, ni kichwa ngumu, yeye anajua kuliko watanzania wote..anakaidi maridhiano ya Rais wake na wadau wengine wa siasa katika nchi hii.

Huyu Six afanywaje, na kwann anataka kuleta mtafaruku usiokuwa na maana.

Embu mshauri au sema lolote juu ya huyu mtu, ambaye hatujui dhumuni lake.
 
ukawa ni akina nani katika watanzania 45 ?
 
Ndugu yangu huyu mzee anasukumwa sana na hisia zake za kuutaka urais, anaweka maslahi binafsi mbele bila kuangalia taifa linataka nini,anatafuta empathy ya chama kumpatia nafasi ya kugombea uraisi 2015, Kwa sasa anataka kupingana hata na mh.rais na kuendeleza vitendo vyake viovu. Hivi huku ni kuchanganyikiwa au kuuzeeka? Nashindwa kuelewa huyu mzee nini hakielewi?Kama yeye ni mwanasheria hajui nini kuhusu mchakato huu?Je, hizi ndo busara zake na uzalendo kama ambavyo amekua akijinasibu kila siku? Nilichogundua ni kua huyu mzee asifiwa awali tu kwa kuliendesha vizuri bunge la muungano wakati watanzania walikua bado hawajamfahamu vizuri.
 
Huyu mzee mi sijui kiburi anakitoa wapi,kama watu rumeshajua kuwa katiba haiwezi kupatikana chini ya rais huyu mwaka huu, yeye kwa nini anakomaaa.Ila pia naona kuna msukumo flani anaupata kutoka kwenye chama chake.
 
Majibu:

  • Ni Waziri wa Afrika Mashariki,
  • Ni Spika wa Bunge Maalum la Katiba,
  • Ni mme mwema wa Mama Sitta,
  • Ni baba wa familia,
  • Ni Mbunge wa Jimbo la Ulambo,
  • Ni Kada wa Chama Tawala,
  • Unbiased
  • nk, nk nkkkkkkkkkkkkkkknkkkkkkkkkkkkkkkkkknk!

Ni mkubwa sana! Rekodi yake nzuri, hakuwahi kufukuzwa kazi, uwaziri, na ndiye spika pekee aliyewapa upinzani heshima (kama mnakumbuka lakini)
 
ukiwa mburula huwezi kumjua sam sitta ni nani ila watu wenye akili timamu wanamjua sitta ni nani.
 
Huna akili timamu na hujuwi ulitendalo

Salumbig5: Msamehe bure, Kwanza hajui TCD ni nini yeye amekaririshwa UKAWA tu. Nafikiri tuachane nae, tuna mambo muhimu zaidi ya kufanya kuliko kumuelimisha huyu mkurupukaji.
 
Majibu:

  • Ni Waziri wa Afrika Mashariki,
  • Ni Spika wa Bunge Maalum la Katiba,
  • Ni mme mwema wa Mama Sitta,
  • Ni baba wa familia,
  • Ni Mbunge wa Jimbo la Ulambo,
  • Ni Kada wa Chama Tawala,
  • Unbiased
  • nk, nk nkkkkkkkkkkkkkkknkkkkkkkkkkkkkkkkkknk!

Ni mkubwa sana! Rekodi yake nzuri, hakuwahi kufukuzwa kazi, uwaziri, na ndiye spika pekee aliyewapa upinzani heshima (kama mnakumbuka lakini)

Ungemalizia kabisa kuwa ni Baba Mkwe wako .................... tumekuelewa!!
 
ukiwa mburula huwezi kumjua sam sitta ni nani ila watu wenye akili timamu wanamjua sitta ni nani.

Wewe ambaye si mburula ebu tusaidie na sisi tumjue huyu samuel six
 
Kikwete na TCD juzi walikubaliana kusitisha bunge la posho linaloongozwa a mpumbavu Samweli Sitta lakini kwa kiburi cha sitta amesema ataendelea ili tu aendelea kutumbua pesa ya walala hoi wakati hospitalini hakuna dawa, madaktari wanadai mishahara, mashuleni ndiyo usiseme watoto wanakaa chini walimu wanadai mishahara ya miaka 20 iliyopita leo Sitta anasimamia ufujaji wa kodi ya watanzania zaidi ya bil 21 kwa mambo ya siyo na faida kabisa kwa watanzania sasa basi ndugu zangu wale mnaoogopa kuingia barabrani tutume hata vimeseji kwa fisadi sitta kumweleza kuwa upumbavu anao fanya haukubaliki binafsi niko tayari kuingia barabarani
Namba ya Fisadi Sitta 0787878778

Acha ujinga wako mtoto wa kisirani makubaliano ya jk na TCD ni bunge kuendelea hadi okt nne wewe haya unayosema unayatoa wapi kama siyo chizi.
 
Kuna watu kwenye nchi hii ni makuadi wa mafisadi na wahujumu uchumi.
 
Back
Top Bottom