Recent content by salum kitumbo

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Hili nalo ni neno
  2. S

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

    Ndio tukutane tufahamiane vzr nipo shy town kiwanuka street wakuu
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania No one to blame ila mimi mwenyewe

    Pole sister kwa yakokukuta lkn usiwaze sana najua ni vigumu kukubaliana na hy hali lkn cha msingi angalia mbele ni vigumu sana kuulazimisha moyo umpende mtu usiyempenda coz love is something "emotional" lkn hakuna jinsi ndo mumeo huna budi kuvumilia naamini with time mtazoeana na hatimae...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Happy birthday bestito miss chagga

    Happy birthday dear sister n b blessed
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

    Kaka hapo hakuna udini ila ameandika historia ya kweli ya nchi hii sio hiyo unayoifahamu wewe mwlm nyerere was a mere teacher pale pugu sec na alipokuja dar alikuta tayari harakati za kupigania uhuru zimeanza hivyo yy c muasisi wa mapambano hayo nakushauri soma kwanza hicho kitabu hlf ndo uwe...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mwana DIASPORA Juma Pinto aula bodi ya Utaliii

    Duh,this is now going to the "extreme" juma pinto namfahamu vzr sana sasa kweli nchi yetu inakwenda pasipo ni htr sana kwakweli lkn lzm km watanzania tuondokane na huu uozo
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiseme nitampenda Kesho

    Khantwe thanx kwa thread nzr sana its very educative n touching,mm ni mgeni humu JF lkn nimekuwa mara nyingi nasoma thread na comments za members humu ndani nyingi huwa zinafundisha sana
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ukweli wanawake tegemezi wanaume tunawachukia

    Thats true man kuwa mwanaume c suala la kugegeda tu inabidi kutimiza mahitaji yote yanayohitajika km ilivyoelezwa hata ktk vitabu vyetu vitakatifu vya dini
  9. S

    JamiiForums Tanzania Brela: Register your business in only 8 hours from previous seven working days

    Thats something good at reducing bureucracy ana will absolutely improve business environment and ultimately boost up economy
Back
Top Bottom