Recent content by salum baharia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tongoza kistaarabu

    is it?how about i want a girl without seducing?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Trafiki polisi wa kike Linda Okelo sasa apewa onyo la mwisho kuvaa sketi fupi

    they think that they are developed,but remember they destroy their children especially psychologically.where are....?,what are we...?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natamani Kujifunza na Kuufahamu Uchawi

    nadhani kila m2 anamaoni yake juu ya suala zima la uchawi,ila kwa mtazamo wangu naona ni bora somo likatolewa kwani likihamasisha ndipo watu wataona umuhimu wake,kwamfano kumsoma mtu anachofikiri.kwa upande wangu mie nipo tayari.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natamani Kujifunza na Kuufahamu Uchawi

    Ndugu nimeuelewa vizuri sana ujumbe wako,vp naweza pata somo kamili.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaenda kuomba kazi BBC

    hahahaha!thats was awesome!oh my god its amazing.
  6. S

    JamiiForums Tanzania urafiki wa wanawhatsapp!

    Tunaboresha urafiki kwa wanawhatsapp na wale wote ambao wapo jijini mwanza,hii inaboresha uhusiano wa kiurafiki na ukaribu pamoja na kujenga undugu wa kufahdmiana,lengo ni kusaidiana katika matatizo ya uhusiano na urafiki.karibuni.
  7. S

    JamiiForums Tanzania urafiki wa wanawhatsapp!

    imekuwa ngumu kujadili na kuwa na maamuzi sahihi juu ya matatizo na maafa yanayowakumba watu katika urafiki na mahusiano,basi kwa wenye kutumia whatsapp ni bora kujadili na kujifunza pamoja na kubadilishana mawazo.Hii itasaidia kwa kiwango kikubwa kurudisha uhusiano na kutengeneza urafiki...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze lugha za kigeni ndani ya jf

    kiarabu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

    ushauri 2,nadhan kabla ya kuweka mada husika ni bora kujadili mada nje ya jukwaa,nikimanisha kama kuna watu wanaweza kujadili ktk whatsapp mnaweka kundi la members halafu mnajadilr mkirudi kwny jukwaa mnatabayanisha kile mlicho jadili!naomba mlifikirie hili.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hodi wenyeji.

    hodi,hodi wenyewe jamani wenyewe mupo,nami ndonaingia"
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tujuane wana JF wa Mwanza

    kwa wanao2mia whatsapp check me dea,0713117399
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tujuane wana JF wa Mwanza

    ebwana mie nipo pande za kilimahewa sokoni kwa msuka,mwanza,karibu sana,
  13. S

    JamiiForums Tanzania Vilainisha vya viungo katika tendo

    jaribu kutafuta mbinu mbadala kabla huchukua maamuzi ya kununua mafuta,kwani kuna njia na matayarisho tofauti kabla ya kujamiana,hivyo basi tafuta ushauri kwanza,kishd ufanyie kaz.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

    mpndwa chukua hatua mapema,maana muda upo na hata uwe bila shaka upo,basi fanya hima kumsaidia japoataonyesha kuwa hana tena tamaa,ila mpiganie,kwani madawa ya kienyeji tele na hata ya mahosipitali yapo!kwa msaada jariau kufuatialia kipindai cha radio chaitwa upepo wa mahaba,kuna doctore anauza...
Back
Top Bottom