Recent content by sallyvct

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais kama hutochukua hatua za ziada kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka(DART), basi tujiandae kwa maombolezo

    Hakuna kitu kinaniudhi kwenye Mwendo kasi kama yule mtu aliyekaa pale anachat na simu yake masaa yote, eti anasubiri kuchana tiketi ya abiria. Machine zimekwenda wapi? Kweli unamlipa mtu mshahara wa kuchana tiketi tu? Nchi ya kusadikika ?????
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utumwa mpya ndani ya Kanisa

    Ndio nyie wapenda njia za mkato. Kwa uvivu huo wa kusoma andiko fupi kama hili, si ajabu kwako kutafuta mafuta au maji ya upako ili uwe tajiri ukiwa umelala bila kufanya kazi. Ondoa hiyo aibu, kusoma ni kujiongezea MAARIFA. Acha uvivu wa akili.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rai: Serikali isitishe uuzaji nafaka nje ya nchi: Hali siyo shwari, Gunia la mahindi limefikia 100,000/= kanda ya Ziwa.

    Kalime ya kwako, pimbi wewe. Acha wakulima wetu nao wafaidi jasho lao.
  4. S

    JamiiForums Tanzania WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

    Kwa hiyo wewe kinakuuma nini? Hukutaka aelimike? Kila mtu huwa ana pa kuanzia kabla ya kufikia mafanikio. Na yeye Harmonize pa kuanzia kwake palikuwa WCB, sasa kapata uzoefu kwa nini asisimame mwenyewe? unataka amtegemee Diamond mpaka lini? Nenda Harmonize kapambane kivyako. Jua tu kuna...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Upepo wa Membe mtaani usipime

    Ndoto nyingine bwana zinachekesha kama siyo kufurahisha. Anyway, tunaambiwa na waatamu tuishi kwa ndoto zetu. Ha ha ha ha
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Kama Uislamu raha kwenye urithi kwa Makonda mlifuata nini. Wengi ya walioenda kwa Makonda kipindi kile cha wanawake waliodhulumiwa urithi walikuwa Waislamu. Sasa ilikuwaje wakadhulumiwa wakati kwenye Uislamu kila kitu kiko wazi kama unavyodai wewe? Wakati mwingine kama huna cha kuandika ni bora...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kifesi: Sina mazoea na Harris na ile sauti sio yangu

    Kumbe mambo yote ni ya kusikia? Mimi nilidhani umeona!!1
  8. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

    Muombeeni tu maana anaweza hata asiuone
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta data za mvua na joto ya kila mwezi kwenye mikoa ya Kagera, Dodoma, Tanga kuanzia 2006 mpaka 2016

    Data ni sehemu ya mapato ya Serikali, hivyo hawawezi kuweka online. Ni lazima ulipie ndio upewe
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta data za mvua na joto ya kila mwezi kwenye mikoa ya Kagera, Dodoma, Tanga kuanzia 2006 mpaka 2016

    Pole sana. Wasiliana na Afisa wa kitengo cha Customer care. Namba yake ni 0754275571. Huyu atakushauri namna ya kulipia na kupata data zako bila kulazimika kuja TZ.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta data za mvua na joto ya kila mwezi kwenye mikoa ya Kagera, Dodoma, Tanga kuanzia 2006 mpaka 2016

    Siyo rahisi kuzipata online. Zile zipo kisheria na ili kuzipata ni lazima ufuate utaratibu kwa kuwasiliana na sehemu husika ambayo ni Tanzania Meteorological Agency
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta data za mvua na joto ya kila mwezi kwenye mikoa ya Kagera, Dodoma, Tanga kuanzia 2006 mpaka 2016

    Nenda Mamlaka ya Hali ya Hewa gorofa ya tatu Ubungo Plaza. Kitengo kinachohusika ni Customer care. Hapo utapata data zote unazotaka hata kama ni kuanzia mwaka 1896. wana Archive kubwa sana na data zao ziko vizuri. Pia watakupa ushauri mzuri kutokana na matumizi yako. Huwa kuna kulipia hivyo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jide na Gadner warudiana?

    Kweli kabisa. Asante sana Kibonde kwa kuleta Amani kwa wana ndoa. Tuige mfano mzuri wa watu kama Kibonde
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jide na Gadner warudiana?

    Nasikia katika kazi kubwa aliyofanya Kibonde kabla hajafariki ilikuwa ni kuwapatanisha Gadner na Jide. Hivyo kama kweli wamerudiana Kibonde anastahili sifa.
Back
Top Bottom