Mkuu muulize tu tangu JPM aingie madarakani ni mradi upi aliouanzisha yeye na umekamilika akafanikiwa kuuzindua????.....mimi naweza kumsaidia kwa kuanza kumtajia miradi hii...ujenzi wa ukuta mererani,ujenzi wa benki ya crdb chatto,ujenzi wa uwanja wa ndege chatto....kwangu mimi iyo ndo miradi mikubwa aliyoifanya jpmHayo Maji unayokunywa miundo mbinu ilijengwa na JPM?
Hiyo Mwendokasi unayopanda kwenda town/Muhimbili ilijengwa na JPM?
Chuo cha UDOM anachosoma mtoto wa mjomba wako alijenga JPM?
Daraja la Kigamboni wanalopita wauza madafu kutoka Kibada alijenga JPM
Huo umeme unaowasha nchi nzima aliuweka JPM?
Vipi Barabara unazotumia kwenda kwenu huko Bukoba, Mwanza, Kahama, Geita, Mtwara, Simiyu, Katavi?
Babu yako akishikwa ugonjwa wa moyo akatibiwa JK Health Institute, aliijenga JPM?
Hizo shule za kata anazosoma mtoto wa dada yako alizijenga JPM?
Mpaka mwaka wa nne wa utawala wake JK alishajenga shule za Kata nchi nzima na Chuo kikuu cha UDOM plus Kilometa kibao za barabara, Huyu wa sasa mwaka wa nne ndo kwanza anazindua ujenzi wa miradi yake ambayo ni "Legacy projects"
Miradi mingi Mikubwa kama Daraja la Kigamboni, Hospitali ya Mloganzila, Termina 3, Darala lile la Kilombero unayoona anazindua leo Ilianza wakati wa utawala wa JK, Pesa alitafuta JK ila sema tu kwa sababu alikuwa lazima astaafu kwa mujibu wa sheria na katiba imeendelea kujengwa na kumalizika katika utawala wa JPM, kwa hiyo ukiona JPM anazindua basi anazindua tu jasho la mwenzie.
Tungoje miradi ya JPM kama SGR na Stiglers ikamilke naye tumpe ujiko lakini so far mpaka sasa bado anatembelea nyota ya JK kwa sana
Sio lisu tena?Chonde chonde watanzania,2020 twende na Membe,kwa maslahi yetu na vizazi vijavyo...
Mimi ni mpinzani ila kama membe atasimama 2020 nampa kura yangu.MEMBE RAIS WA WAWATANZANIA.Hakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020
Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm
Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko
Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar
Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora
Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
Huku jamii forum mmejifungia watu mnaoota mchana,,, hali halisi ya jamii forum ni tofauti na huku mtaani kulivyo...ngoja tuone mwisho wa hizi ndoto za mchanaAcha kabisa Mkuu hili likitokea la Bugirichato kupigwa chini furaha itakayokuwepo nchi nzima itakuwa haina mfano.
Watanzania wengi watalia machozi ya furaha na wengine walioathiriwa na huyo dhalimu kwa namna mbali mbali yatakuwa machozi ya huzuni.
Anaweza badili katiba , chama kijitenge na serikali kabla ya uchaguzi, na akafanya kampeni kwa makada wote wa ccm kura za ndio zitashinda, nguvu aliyonayo ni kubwa kuliko kijani chenu, yuko hapo mtoeni muone effect yake.
Piga chini Magugumaji, hatutaki ujinga!Hakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020
Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm
Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko
Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar
Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora
Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
Hahahahahahah, Mkapa aliona mbali sana alipoita NI WAPUMBAVU.Nadhani zimefanywa kule uani ufipa kwenye yale maturubai yaliyochakaa.
Kuna mtaani unaitwa UFIPA huko ndio kuna habari hizo.Mpaka najiuliza au Mimi naishi mbinguni manake mtaani hayo sijaoni kabisa
Huku jamii forum mmejifungia watu mnaoota mchana,,, hali halisi ya jamii forum ni tofauti na huku mtaani kulivyo...ngoja tuone mwisho wa hizi ndoto za mchana
KashalimwagaUkimaliza kuota uamke ukakojoe usije ukajikojolea
Nitawapoteza wote hao!Hakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020
Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm
Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko
Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar
Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora
Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
Aaalaaah !Hahahahahahah, Mkapa aliona mbali sana alipoita NI WAPUMBAVU.
Hakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020
Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm
Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko
Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar
Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora
Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
Siasa ya leo ndiyo ina determine mjukuu wangu ataishije mwaka 2060 wakati mi sipo hapa duniani...kuwaachia hawa wana siasa watuamulie wanavyoona inafaa kwao ni kosa kubwa sana ambalo hata Mwenyezi Mungu hawezi kutusamehe..Hawa wanarukaruka tu ila mwakani atakayepeperusha bendera ya CCM si mwingibe bali ni John PJ Magufuli (PhD). Bahati nzuri/mbaya hata hao akina Membe wanalijua hili vizuri sana. Wana CCM ni wanafiki kupita maelezo (Musiba was spot one for once..). Utashanga haohao akina Membe, January, Nape, Mwigulu, Makamba etc wapo ndani ya kampeni team.
Siasa waachieni wana siasa na nendeni mkafanye yenu kwa manufaa yenu na familia zenu.
Uwenyekit pembenii kwenye necKwa jinsi CCM inavyominya demokrasia sioni namna Membe anavyoweza jipenyeza kushika kijiti. Yaani ina maana Mwenyekiti ,ambaye ni Jiwe, ampishe mtu mwingine kugombea uraisi? Hata kama Membe anapendwa namna gani hilo ni jambo lisilowezekana. Labda itokee la kutokea la Arab-spring!