tuangalieni source la tatizo sio yaliotokea baada ya tatizo. kunyimwa elimu kwa watanzania wengi ndio maana 2nashindw kupambanua mambo kwani tatizo ni kuwa muandishi wa habari au!!!!!!!!!!! kwani mbona kunawaandishi wa habari wengi 2 wanaotembea na msafara wa wafuasi wa chadema nao 2waite je...
pamoja sana uzi ule ule mpaka kufikia uhuru wa kweli.wali2ondolea elimu ya uraia ili 2cjue mustakabali wa nchi ye2 sasa 2mepata walimu wa kweli...............
ufinyu wa uelewa sijui anamaana gani anaposema ufisadi, nawasiwasi juu ya uelewa wake kuhusu maana ya ufisadi. kama anahitaji maana halisi ya ufisadi. auliza 2po kwa ajili ya kuelimishana.
cna cha kusema ila naomba mungu wacje wakabinafsisha na nchi 2kakosa pakuishi kwani itakapofikia cku ya kuvunja mkataba 2tahitajika 2kawa2mikie walioingia mkataba mpaka fidia yao itimie ndio 2pate ardhi ye2. ee mungu waangaze hawa waache uozo huu.
co yeye 2 kalishuhudia hilo huku kumetokea na ugomvi kabisa m2 na t-shet yake ya man u kampamia shabiki wa barc alipoulizwa kulikona ww wa man u kukerwa na ya real akaanza kulalamika oooh ita2wia ngumu kuchukua kombe mara barca wanapendelewa.
the best is best nothing can change it.
ni aibu kuona zawadi kwa mwalimu bora anpewa tshs.600,00/= kwani mashirika mengine ya serikali w2 wanajizolea mamilioni na zawadi nyingine kem kem.
inazihirisha wazi ule usemi wa uwalim ni wito unapaswa uondolewa kwenye matangazo hauna maana kama utajitolea alafu unaonekana kama unajipendekeza.
hata mkipewa muda muyapitie hakuna mnachoweza kuleta kipya zaidi ya malumbano ila kwa kuwa mnaona mnaonewa, je sheria inaelekeza nini?
Think 4 tanzanians citizen feature not ur interest. i know u need 2 return u wealth back but things have changed now find another way.
nakubaliana na yaliofanyika cku barc ilipocheza na arsen ila ni makosa ya refa hakuwa na sababu ya kumpa va-p kadi kwani alistaili kumuonya na c kadi.nakumbuka niliondoka kwenye ukumbi kwani ladha ya kuendelea kuangalia mpira iliniisha japo nilikua nashabikia barc. natambua machungu ya m2 kupewa...
sheria za mpira ni zile zile ila kama mnahitaji zibadilishwe sawa kwani unapocheza rafu kama ile aliocheza pepe unatarajia kingetokea kitu gani kama alv angelazimisha kupiga mpira ule.
kama na mechi ya jusi barc walichakachua nahisi ndugu yangu ww si mshabiki wa soka ila ni mfuata mkumbo; kombe la mfalme barc walifungwa na real hawakubwata nashangaa ckuona mshabiki au kiongozi yeyote yule wa barc akim2humu m2. ila kwa hili la real kufungwa mashabiki mmelivyalia njuga kama nn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.