Ansbert Ngurumo amchana Kikwete live...

Kweli ingekua CCM ina anguka msinge poteza muda hapa na mbwembwe kibao! Mtapigwa tena na CCM 2015! Hamna Ujanja! Wenzenu wanaenda kimya kimya nyie kelele tu za kujaza watu kwa kuandamana mnaona mmeshawashinda tayari CCM! Jipangeni acheni ubwege nyie Chadema mtaishia tu kusema mmeibiwa kura!
 
I like your words as much as i dont like them.
 
samomeshwa na mbowe uingereza

nakupongeza sana kaka hawa ndio wazalendo wanaotakiwa kuiokwamua nchi hii katika matizo.
Sasa watanzania wenzangu mwenzetu kaongea ukweli mtupu tena bila kuficha sio tunasikia kakamatwa kwa aliyoyaandika alafu tunakaa kimya. watnzania mpooo mimi nipo sijui nyinyi?
 
Back
Top Bottom