Kashfa kubwa ya ufisadi yaitafuna CHADEMA

Huyu ndio Rais wako na huna rais mwingine ! kodi yako anaikusanya na anaitumia kukuletea maendeleo ww , mkeo na watoto wako

Bila aibu,unabana pua na kusema "kodi anayokusanya anaitumia kuleta maendeleo..." Angekuwa anatumia vema kodi za mlipakodi wa Kitanzania mngejazana hapa kuuza utu wenu kutetea majambazi?Mnalipwa kiasi gani mpaka kuudmuza ubongo wenu kuangalia mambo yanyowazunguka?
 
Mti wenye matunda utapigwa mawe!
Hongereni vilaza ccm mshaona ndo topic yaleo, Mshindwe na mlegee na kisha muanguke kifudifidi halafu cdm tuwararie na kuwapumulia kisogoni!!!!!
Mkuu matusi siyo mbadala wa kujibu hoja.
Hoja haitaondoka wala kufifia kwa majibu haya, sana sana itareinforce lile wazo la CDM kuwa na watu wasio na akili kama hii post.
 
Inamaana hiyo CC ya CDM haijui kilichomo ndani ya Public Procurement Act 2004? kama sivyo kwanini hili suala lilete mjadala mrefu wa kutaka kutoana macho?.Hawa (Slaa) ndio walioshiriki kupinga sheria isibadilishwe kuruhusu Serikali kununua Used Equipments/Machines sasa leo "vya chakavu" vimekuwa "deal".

Hii ni malice aforethought to ufisadi Mzee.

Du mzee apolycaripto-kanyani ka busara-umenena.
Hii double standards ndio inatupa wasiwasi mkubwa kwa hawa wafanyabiashara/wanasiasa.Hivi wakipewa nchi itakuwaje?
Preaching good governace on one side and practicing ufisadi in the party.
CDM ni chama kilichoasisiwa na mafisadi tu.
 
ufinyu wa uelewa sijui anamaana gani anaposema ufisadi, nawasiwasi juu ya uelewa wake kuhusu maana ya ufisadi. kama anahitaji maana halisi ya ufisadi. auliza 2po kwa ajili ya kuelimishana.
 
Bila aibu,unabana pua na kusema "kodi anayokusanya anaitumia kuleta maendeleo..." Angekuwa anatumia vema kodi za mlipakodi wa Kitanzania mngejazana hapa kuuza utu wenu kutetea majambazi?Mnalipwa kiasi gani mpaka kuudmuza ubongo wenu kuangalia mambo yanyowazunguka?

Kwani hayo maendeleo ww uliyo nayo na watoto zako aliyoyaleta sio CCM ? ungepataje hayo maendeleo bila ya kuwepo amani na utulivu ndani ya nchi ? hukosoma kwa hela serikali ww ? jibu hoja zenye mashiko acha bla bla
 
Haina haja ya kumtusi ila mueleweshe ili aelewe tofauti kuwa cdm is a political party and they are not forced to buy brand new cars. Only govt is forced by ppra to do so. Pia cdm haikukwepa kodi au kuomba tozo liondolewe. Anyway, mdogomdogo wataelewa somo kwa propaganda za kizamani hazifai kwenye ulimwengu wa teknohama. We need substance!!
 
Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi

Give us a reliable source plz..........
 
Du mzee apolycaripto-kanyani ka busara-umenena.
Hii double standards ndio inatupa wasiwasi mkubwa kwa hawa wafanyabiashara/wanasiasa.Hivi wakipewa nchi itakuwaje?
Preaching good governace on one side and practicing ufisadi in the party.
CDM ni chama kilichoasisiwa na mafisadi tu.

Ila Nasikia Mnnyia Yuko Nje ya Nchi sasa huyu Mnnyika wanayemzungumzia sijui nu Yupi
 
Unajua hii issue ni kubwa sana, Chadema kama chama sijui wanaichukuliaje bila kuitolea ufafanuzi Wananchi wakailewa vizuri mnapokaa kimya Watanzania kweli wataamini yanayosemwa juu yenu kuwa ni kweli
 
MAGARI CHAKAVU NA MITUMBA YA KILA AINA CHADEMA HAPANA TUSINUNUE KABISAAAAAAAAA HATA KWA DAWA NA VILE VILE TUANGALIE SERA YA CHAMA CHETU KUHUSU UGAVI!!!!

Sisi Vijana wa CDM tunasema kwamba endapo hayo madai hapo chini yana ukweli wowote basi ieleweke kwamba msimamo wetu ni kwamba ununuzi wa magari ya Mitumba HAPANA na huo mpango uangaliwe upwa ndani ya vikao vya CHADEMA.

Bora magari matatu mapya kuliko kununua magari 30 chakavu ambapo gharama za service itapaa juu angani kuliko hata ile gharama ya kununua jipya. Isitoshe, ununuzi wa aina hiyo itatufanya CDM tujue mafundi vishoka wooote mitaani bila sababu.

Furaha yangu tu ni kwamba CHADEMA huwa kuna nafasi ya kisikilizwa kila mtu anapoleta hoja. Ningekuza mwenyewe mguu kwa mguu ofisini lakini kilimo kimenibana kidogo kijijini na nauli pia inasumbua.

Tafadhalini sana STOP!!

Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni.

bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo.

itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi
 
Chadema ni chama kinachojitegemea na kujiongoza na wala hakiko serekalini manunuzi ya chama hayusiani na serikali wala haijajiwekea mipaka kama sheria ya nchii invotaka manunuzi yawe ni ya new brand equipments wajumbe wamependekeza yanunuliwe used kubana matumizi na hayaja nunuliwa huo ufisadi uko wapi..? haya semeni nyie watumwa fisadi nani na kafisadi sh ngapi...?kupishana kimsimamo ndani ya chama ni normal all over the globe..kama zito amependekeza mapya na wengine used hiyo ni mitazamo lazima itofautiane kulingana na upeo...zitto kajisahau kuwa cdm ni chama cha upinzani na ruzuku yake ni ndogo sasa wakinunua mashangingi hiyo 480 million ingenunua mangapi...? Non sense kajipangeni tena kukoroga ila tunajua each and everything hapo mwandishi na mtoa mada mmechakachuliwa na nape
 
Nimeamini kuna virus vimeingia jf sasa huo ufisadi uko wapi hapa !!? Kwani sheria ya cdm inakataza kununua vitu used ? Me nadhani ule ulikuwa ni mjadala na wamekubaliana.
 
Huyu ndio Rais wako na huna rais mwingine ! kodi yako anaikusanya na anaitumia kukuletea maendeleo ww , mkeo na watoto wako
I guess you're not thinking straight. Kuna maendeleo gani hapa unayoongelea.Hebu tuache ligi za kitoto! Mnatukera wengine
 
Chadema ni chama kinachojitegemea na kujiongoza na wala hakiko serekalini manunuzi ya chama hayusiani na serikali wala haijajiwekea mipaka kama sheria ya nchii invotaka manunuzi yawe ni ya new brand equipments wajumbe wamependekeza yanunuliwe used kubana matumizi na hayaja nunuliwa huo ufisadi uko wapi..? haya semeni nyie watumwa fisadi nani na kafisadi sh ngapi...?kupishana kimsimamo ndani ya chama ni normal all over the globe..kama zito amependekeza mapya na wengine used hiyo ni mitazamo lazima itofautiane kulingana na upeo...zitto kajisahau kuwa cdm ni chama cha upinzani na ruzuku yake ni ndogo sasa wakinunua mashangingi hiyo 480 million ingenunua mangapi...? Non sense kajipangeni tena kukoroga ila tunajua each and everything hapo mwandishi na mtoa mada mmechakachuliwa na nape

Mkuu, unaposema Chadema ni chama kinachojitegemea sijui unamaanisha nini? Watu wanapiga kelele kuhusu matumizi ya hizo kwa sababu zinawahusu ni pesa za walipakodi wa Tanzania, ndio zinakuwa ruzuku wanapewa vyama vya siasa. kwa hiyo vumilia tu najua upendi Chadema waguswe wangetumia pesa binafsi za Dk Slaa au Mbowe, Watanzania wasingelalamika
 
Nimeamini kuna virus vimeingia jf sasa huo ufisadi uko wapi hapa !!? Kwani sheria ya cdm inakataza kununua vitu used ? Me nadhani ule ulikuwa ni mjadala na wamekubaliana.

Mkuu, jibu hoja acha porojo hizo pesa ni za walipa kodi wa Tanzania wana haki ya kuhoji, mbona Chadema walipinga kwa nguvu zote serikali isinunue mitambo chakavu ya Dowans?
 
Hahahaha sawa mkuu ila sio sipendi cdm waguswe...napenda sana wakikosolewa ili wajitambue...kujitegemea namaanisha kina katiba yake na sheria zake za manunuzi...unadhani kama wangekuwa hawataki kulinda kodi zetu si wangeagiza magari mapya kama alivopendekeza zitto kabwe? manunuzi hayajafanyika wala kupitishwa ilikuwa ni mjadala tuu,,, haya huyu mwandishi anayesema ufisadi ndani ya chadema wakati hata manunuzi bado anataka nini kama sio mtumwa wa watwana?

Mkuu, unaposema Chadema ni chama kinachojitegemea sijui unamaanisha nini? Watu wanapiga kelele kuhusu matumizi ya hizo kwa sababu zinawahusu ni pesa za walipakodi wa Tanzania, ndio zinakuwa ruzuku wanapewa vyama vya siasa. kwa hiyo vumilia tu najua upendi Chadema waguswe wangetumia pesa binafsi za Dk Slaa au Mbowe, Watanzania wasingelalamika
 
Serekali sio chama cha siasa mkuu...na sheria za chama ni tofauti na za serikali mkuu mbona unawachakachua watu akili na wanajua kila kitu...? embu nipe mantiki ya mwandishi kuandika ufisadi ndani ya cdm wakidhiri, nani fisadi? kafisadi nini? na ni shilingi ngapi kafisadi? na ushahidi wake umekaa vipi? ukinijibu hayo maswali nadhani nitaungana na wewe...tuelimishane na tusipotoshane

Mkuu, jibu hoja acha porojo hizo pesa ni za walipa kodi wa Tanzania wana haki ya kuhoji, mbona Chadema walipinga kwa nguvu zote serikali isinunue mitambo chakavu ya Dowans?
 
Back
Top Bottom