Recent content by Salhat

  1. Salhat

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Sawa sawa
  2. Salhat

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Habar wadau Naomba mnisaidie wazo dogo Yuko morogoro ardhi tangu juz ananitumia sms et hataruhusiwa kuendelea na semister ya pil kwasab hajatoa Ada ndo nkashangaa hv vyuo vya serikal vimekuja kuaje Tena jaman wanafanya Kama watto wako private embu nisaidien pia Kama Kuna wanafunz hum wa icho...
  3. Salhat

    JamiiForums Tanzania Hongera Mathew Kilama kwa Kuteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

    Imefika miez sita ssa hawashughulik na rufaa Wala malalamiko kisa mwenyekiti kastaafu ingekuwa bandar wangekaa mdaa mrefu hvyo bila kufanya teuzi au kwasab hiki kitengo hakiwaingizii fedha dah
  4. Salhat

    JamiiForums Tanzania TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

    Hyo kwasab unakaa nyumba ya ghorofa nyumba za kawaida n buku kwahyo Hapo unadaiwa elf 5 July na August ghorofa elf 10 nyumba ya kawaida elf 2
  5. Salhat

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    @saveya kagoma kuja
  6. Salhat

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Hlw naomben ushaur dogo kachaguliwa kwenda morogoro ardhi course ya geomatics vp mliosoma ajira serikan zpo ana ndo kusoma ukajiajir na mtaji huna
  7. Salhat

    JamiiForums Tanzania NACTE wafungua usajili wa nafasi za masomo ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa mwaka 2021/22

    Naombeni link nlikoingia nmekuta ambao wanaomba degree na mm nataka ya diploma
  8. Salhat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwenye Jambo hili

    Itakuwa sehem alipo ucku network n tatzo jarib kutumia mtandao tofaut kupata uhakika zaid
  9. Salhat

    JamiiForums Tanzania Hivi Kariakoo ni kweli kuna Fremu za 3M-5M au ni kutishana tu?

    Mm hlo nmekutana nalo mwenyew nliambiwa hapa lazma kunilipa hela ya kukuachia frem na hyo haihusian na kod weee nlivyoondoka cku rud Tena maana ndo nlikuwa naanza biashara
  10. Salhat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]acha uwoga
  11. Salhat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

    [emoji2][emoji2][emoji2]naendelea kufwatilia comment dia hubby endelea ku mute hvyo hvyo
  12. Salhat

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Na makonda je?
  13. Salhat

    JamiiForums Tanzania Ustadhi Rashid Josephat Gwajima

    [emoji1][emoji1][emoji1]kumekucha
  14. Salhat

    JamiiForums Tanzania Magari ya kwenda Kibiti yanapaki wapi kwa Dar es Salaam?

    Hahahaha Asante kesho itabid uwah ukanishikie siti
  15. Salhat

    JamiiForums Tanzania Magari ya kwenda Kibiti yanapaki wapi kwa Dar es Salaam?

    Nashukur sna kwa maelekezo
Back
Top Bottom