Magari ya kwenda Kibiti yanapaki wapi kwa Dar es Salaam?

Salhat

Senior Member
Oct 14, 2018
182
417
Helo wana JF,

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Naomba kujua nkiwa Dar napandia wapi gari zinazoenda Kibiti.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
 
Mkuuu kulikoni huko Kibiti...
Kwa avatar yako na kwenda kwako Kibiti mkuu utapotea mazima jiangalie.
 
Back
Top Bottom