Recent content by salehematwe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Barua Ya Wazi: Mh. Pinda lazima uwajibike la sivyo utamponza Rais

    Tena wapigwe tu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano wa CCM Arusha ni Aibu kubwa!

    Habari zenu wakuu, msaada naomba udhamini nataka kukopa bank fulani awe na tin leseni ya biashara barua ya selikari ya mtaa wa biashara na barua ya selikali ya mtaa anakoishi, pesa ya picha nitamlipia, mkopo kati m3 au m2 atakaenisaidia laki nampa awe mkazi dar wilaya kinondoni ni bora naishi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serious: Kwa mtu mwenye cash 60m+ hajui cha kufanya.

    Au kwenye bodaboda nafikiri ndiyo inamfaa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Pro - Chadema kushangilia vifo vya wapinzani wao ni dalili mbaya sana na hatari kwa taifa

    Mnakumbuka ya marehemu ditopile? Ilienda enda mwishoe aliua bila kukusudia.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    Waziri mkuu mwakyembe, magufuli abaki palepale, pinda achukue cheo cha lukuvi hicho ndicho kinachomfaa kwa sabanu anaweza kujibu maswali vizuri hasa siku ya alhamisi, wizara ya uchukuzi kama pangekua pana uwezekano awekwe dr. Slaa lakini haiwezekani,awekwe ana kilango malechela, wengine waendelee.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aingia Jioni hii Kigoma mjini kwa Mbwembwe..

    Jamani naombeni msaada, kuna ajali imetokea kutoka moshi kuja dar, kuna ndugu yangu yupo ndani gari, gari ipo miguu juu nimempigia simu analia tu, msaada ajali hiyo ipo wapi?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje hii picha.

    Jamani tuwe na adabu hata kama mtu humpendi.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vodacom mnakera na meseji zenu mnazotuma hovyohovyo kwa wateja kwa kutumia namba 15778

    Mimi nilipigiwa kutoka tigo kua umefanikiwa kujiunga nabima tembelea ofisi zetu upate kujua hospitali zetu, kweli inakera.
  9. S

    JamiiForums Tanzania JK ateua Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

    Wewe kama dr. Slaa anasema uongo mbona hawamshitaki?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mwigamba: Sitoki wala siombi radhi. Atoa ufafanuzi kuhusu Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013

    Tena nasema wafukuzwe tu, tumechoka.
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wanawake wa TZ hawajui kupenda ila wanawivu

    Hii mada imenikuna sana.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ukipewa Fursa ya Kumshauri Mh Zitto Kipindi Hiki Utamwambia Nini?

    Mimi ushauri wangu kwa zito kabwe namuomba, kama atanielewa kwanza tunampenda sana na kama amechukua hizo pesa, najua alilazimishwa kupewa, kwa suala la pesa ni shetani mkubwa sana, ningependa. Ktk hizo siku 14 aombe radhi kwa chadema kwamba alipewa lakini sio nia yake naimani viongozi wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Mzee Said Arfi: Somo jingine kwa Chadema

    Pikipiki inauzwa fekon 150.T405CCV Milion moja na laki moja 1,100.000/-
  14. S

    JamiiForums Tanzania CUF - KUONGOZA NCHI 2015 ni ushindi mkuu.

    CUF mmepotea cdm ndiyo wanaona mbali.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wenye maduka Kariakoo wagoma kufungua Maduka wakipinga mashine za TRA

    Jamani na tugome, upo juu sana na ewura tanesco wanataka kupandisha bei.
Back
Top Bottom