Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
- Thread starter
- #21
Cuf kweli ipo kwenye damu na sio kwenye mdomo au kwenye majukwaa kama walokolee wanavyofanya,wanafikiri kila siku itakuwa jumapili,sasa cuf wana staili mpya nyumba kwa nyumba kila mtu kadi mkononi ndiyo ushindi. Sio lema na zitto au mbowe na slaa siasa hihzo zimeisha
Umeona eei ,tatizo hapa kuna majahili hawa huweza kuja na matusi au kejeli na hujifanya wao Too Much know without knowing , watu wa dizaini hii huwa nawafurahia kwani at first sight nawaona ni katika lile kundi la waliopotea ,sasa jitu lina miaka arubaini au linakaribia huko unalikuta linaandika madudu.
Kama ulivyosema na ndivyo ilivyo na wao hao vyama vingine ikiwemo CCM kubwa lao wanafahamu fika kuwa CUF ni tishio ni chama kinachofuka moshi wa siasa ,wanajua kimefanya nini kule Zanzibar hadi kuingiza mguu mmoja ndani ya Ikulu ,Leo hii wamo ndani ya serikali ,wakaitwa majina ya kuitwa sijui ndoa,sijui b ,hamna cha b wala c ,CUF ipo ndani ya serikali ya Zanzibar wakiwa na post za juu kabisa ,dogo hilo ?
CUF inakuja upande wa pili na inakuja kwa ushindi mkuu usiotegemewa na CCM wala vyama vingine na hapo ndipo zaidi wale waliokuwa wanagatigati wataijua CUF kuwa ni chama dume na mwananchi wa kweli lazima atauwa yupo CUF, sasa wewe huko kwengine sijui unafanya nini ,hivi hamuoni malumbano ya huko ,hivi ni chama hicho au ni wafanya biashara sokoni ?
Tumeweza kushinda sio Zanzibar tu hata Bara CUF imeshinda tena chaguzi zote ,hilo halina ubishi na wanachama wenyewe wanalijua hilo ,subiri tu utakaposikia Tume huru imepatikana ambayo itakubalika na CUF katika uchaguzi ujao basi hapo ndio mtajua kama embe ntunda.