Barua Ya Wazi: Mh. Pinda lazima uwajibike la sivyo utamponza Rais

Pinda ni mtu mzima, ameskia wabunge na wananchi kwa ujumla wao wakipinga ukatili wa iyo tokomeza. Amuige Kagasheki ajiuzulu.
 
kwakweli serikali ya ccm ni legelege... mara kwa mara mawaziri wanapanguliwa.
 
In actual fact PM Pinda Must go, if our country believe in collective resposibility. All over the World for any legitimate Government that fail to protect its citizen from any injustice, tourture and inhuman treatment; Basi Watawala Wanakosa uhalali wa Kuongoza. PM Pinda Kama akigoma Kujihuzuru na Boss wake akimwonea Huruma basi Watanzania tulioguswa na Swala hili tuna Haki ya Kuchukua Maamuzi Magumu maana sisi ndio tumewapa dhamana ya Kutuongoza na hivyo tunayohaki ya Kusema Imetosha.
 
Nijuavyo uwajibikaji unaanzia kwa mkubwa wanafuata wadogo!
Naona huu wetu umeanzia kwa wadogo mkubwa bado kakomaa!
Another wonder only in Tanzania
 
Pinda amedharaulika mpaka ndani ya bunge.

Wabunge wanamuona ni dhaifu!

JK hii ni aibu yako pia.
 
Sa mkuu da acha 2 amalizie kozi gharama ya kumtunza akistaaf afu na kukabidh ofsi ngoja amalizie ila malipo hapa hpa dniaani
 
Waziri mkuu gani anajua na kukili mwenyewe kuwa amechoka lakini bado anasubiri kuwajibishwa. Chili jitu sio siri nalichukia sana. Lakini hakika huwezi kumuweka kando kikwete na sakata hili kwani udhaifu wake ndo chanzo cha yote yanayoendelea
 
mtoto wa mkulima anawawasha nini mwacheni alale usingizi kwani bosi wa kaya
hayajui haya myasemayo.
 
Pinda amedharaulika mpaka ndani ya bunge.

Wabunge wanamuona ni dhaifu!

JK hii ni aibu yako pia.

Mkuu wabunge ni wanafiki wa kwanza!Wao ndio wenye power ya kumuondoa PM tena ndani ya nusu saa tu!Badala yake wameishia kumdharau huku nchi inazidi kupotelea kwenye shimo la giza
 
Back
Top Bottom