Recent content by Salah mane

  1. Salah mane

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Ni kweli unachoongea broo!!!!... fursa zipo nyingi, imagine dar kuna population ya watu 5 million, hao wote wanahitaji kula na kuvaa Inabidi tufikirie positive... Nashkuru sana broo!!!! Nitakucheki kila changamoto nitakayoipata unisaidie kuitatua.
  2. Salah mane

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Daaaahhhhhh!!!!! Nashukuru broo kwa msaada wako !!!! Ngoja nianze kuhangaika... baada ya wiki mbili nitaleta mrejesho hapa MUNGU AKIPENDA
  3. Salah mane

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Nashukuru sana broo kwa hiyo courage yako!!!.. Ila nina laki 6 tuu mkuu, vipi naweza nikaanza nayo hiihii au nisubiri niiongeze kwanza?
  4. Salah mane

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Mdau vipi ulishaanza biashara au? Nami pia niko interested na kufanya hiyo biashara... Nipe neno lako kutokana na uzoefu unaoupata
  5. Salah mane

    Fursa

    Nipo hapa jomba njoo pm tuyapange vizuri
  6. Salah mane

    Msaada: Jinsi ya kujaza post code

    Habari za wakati huu waungwana. Bila kupoteza muda niende kwenye mada husika. Ninaomba kujua jinsi ya kuzipata Post Code na kuzijaza kwenye field mbalimbali ambazo zinahitajika.. Kwa case yangu ninataka nizijaze kwenye Googgle Adsense kwenye Website yangu.... nimehangaika nimeshindwa...
  7. Salah mane

    Jenerali Mabeyo(JWTZ): Kuna Viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi. Hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo

    Sawa lakini tukumbuke hao wanaoitwa wapanga mapinduzi walioko nje hawawezi kulifanikisha hilo wao wenyewe. Lazima watatumia nguvu ya wananchi. Point yangu ni kwamba Mkuu wa Majeshi naona ameharakisha sana tamko lake wakati wao huwa ni watu wa mwisho na pia hushughlikia mambo makubwa ya...
  8. Salah mane

    Jenerali Mabeyo(JWTZ): Kuna Viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi. Hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo

    Habari za Asbuhi wadau, natumai mu wazima wa Afya. Kama topic inavyouliza hapo juu, majuzi kumetokea taarifa kutoka kwa mkuu wa majeshi, Jenerari MABEYO alitoa tamko kuhusu usalama wa nchi kuwa wananchi waache kujihusisha na shughuli yoyote ile itakayopelekea uvunjifu wa amani. Alisisitiza...
  9. Salah mane

    Wanafunzi 7 Wafukuzwa Chuo Kikuu Cha Kiislamu Morogoro kwa kujihusisha na Mapenzi

    Mkuu tambua hicho ni chuo ambacho kimeshajipambanua kuwa ni cha dini. Vyuo vinginevyo kama UDSM, UDOM, SAUT ni ngumu kuweka hizo sheria.
  10. Salah mane

    Majibu yatongozo and how to react/nini cha kufanya

    Mzee uko vizuri... Inaonesha we hukataliwagi maana unajua kila namna ya kuwasomesha
  11. Salah mane

    Nina malengo nae ya baadae ila tatizo 'hashoboki' kimapenzi

    Soma tuu kijana... Maliza kwanza final ndo uanze mambo hayo..usijione umevuka Mtafte ukiwa ushamaliza na umweleze malengo yako lasivyo ukiharakia saivi atakuona wale wale wanaotaka mzigo tuu
  12. Salah mane

    Man City yatua kwa Leicester.

    Manchester City imeshatuma ofa ya €68m kwa Leicester City kwaajili ya kumsajili winga Riyad Mahrez ambaye Pep Guardiola anaamini atakuwa mbadala wa Leroy Sane. Leroy Sane ameumia kwenye mchezo wa FA Cup wikiendi iliyopita ambapo atakaa nje kwa wiki 7 hadi 9 . Via France Football
  13. Salah mane

    Aubameyang Awasili Arsenal

    Sky sports wamethibitisha broo
  14. Salah mane

    Aubameyang Awasili Arsenal

    #BREAKING Mshambuliaji Pierre Emerick Aubameyang amewasili katika uwanja wa mazoezi wa klabu ya Arsenal London Colney kukamilisha uhamisho wake kutoka klabu ya Borrussia Dortmund Arsenal wamekubalina na Dortmund ada ya uhamisho ya Pauni milioni 60 kwa mshambuliaji huyo mwenye miaka 28...
Back
Top Bottom