Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Ni
Mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye
umri wa miaka 3. Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja asubuhi nikiwa barabarani na gari langu nikitokea nyumbani
kwangu Mitaa ya Kihonda Magorofani nikielekea...