Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Serikali kupitia wizara husika tunaomba mtoe tamko juu ya kuchelewa kwa ajira hizi kama mlivyofanya hivyo kwa mwaka jana, kwa sababu kosa limejirudia tena. karibuni wahusika wa jambo hili.
 
Tumewachokaaa bhanaa aghh!!!Tunasubir tamko rasmi kila mtu anakuaa msemaji wa Tamisemi huyu ivi huyu vilee...
 
Haya maafisa habari wa Tamisemi maana duu kila raia anapanga tarehe yake ya kuripot hata kabla ya majina
 
Serikali kupitia wizara husika tunaomba mtoe tamko juu ya kuchelewa kwa ajira hizi kama mlivyofanya hivyo kwa mwaka jana, kwa sababu kosa limejirudia tena. karibuni wahusika wa jambo hili.

Nani kakwambia zimechelewa??mwaka jana Ajira zimetoka March katikat ,watu wakaripot april 1
Ww ndo unataka kuziwaisha zenyewe hazijachelewa!!
 
Tumewachokaaa bhanaa aghh!!!Tunasubir tamko rasmi kila mtu anakuaa msemaji wa Tamisemi huyu ivi huyu vilee...

Jana nlibahatika kulifuatilia ..walinipa jibu ajira zipo tatizo ni hazina hawajatoa pesa kwa ushahid akaniambia had location ya wilaya tayar kwa waalimu wote kasoro wenye matatizo.... Xo vumilieni hope katikat ya mwez mzigo out!!
 
Nani kakwambia zimechelewa??mwaka jana Ajira zimetoka March katikat ,watu wakaripot april 1
Ww ndo unataka kuziwaisha zenyewe hazijachelewa!!
tatizo lako unataka kulazimisha kukariri ujinga. Inamaana hujui kuwa mwaka jana walitoa tamko la juu ya kuchelewa?
 
Tatizo lililipo inaonekana suala la kuajiri walimu c kipaumbele cha serikali na kwa sasa kuna UKata serikalini ukilinganisha bajeti yetu hutegemea wahisani nao wahisani wamesitisha misaada kutokana na escrow scandal mpka sasa bado serikali haina uhakika wa kuajiri muda gani japo ishatoav
Tamko tatizo ni pesa subira yaitajika ndg walimu
 
tatizo lako unataka kulazimisha kukariri ujinga. Inamaana hujui kuwa mwaka jana walitoa tamko la juu ya kuchelewa?

Haya mkuu wa Tamisemi kazilete basi maana naona nimegusa penywe umeaamka ka nn ...hahahaha.....tatizo njaa znakusumbua unataka kuwaisha mambo wakati uwezo huo huna....wafate wambie watoe tamko....
 
aaaa walimu mnataka kutwangana wenyewe kwa wenyewe kisa ajira kuchelewa....acheni hizo vumilieni tu
 
aaaa walimu mnataka kutwangana wenyewe kwa wenyewe kisa ajira kuchelewa....acheni hizo vumilieni tu

Ha..ha...h.a..ha njaaa zimezidi kitaaa mtu haingizi.chochote .....so lazima apanik.....si unajua aliingia Ualimu kwa sab.....hakua n.mbadala akijicheki kwao familia ndoivo tena hali ya chini....ila wavumiliee tu mambo yataku poaa soon!!!
 
Haya mkuu wa Tamisemi kazilete basi maana naona nimegusa penywe umeaamka ka nn ...hahahaha.....tatizo njaa znakusumbua unataka kuwaisha mambo wakati uwezo huo huna....wafate wambie watoe tamko....
zungumza fact rudi kwenye key. Au ww sio msomi
 
Subira yavuta heri....acheni kurumbana waungwana kwa jambo ambalo lipo nje ya,uwezo wenu... Mnaznguana now alaf majina yanatoka kesho mmepangwa kituo kimoja... Mmmh.,,,, chungeni kauli!!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom