Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
naitaji ushauri.nafundisha shule moja maarufu sana hapa nchini salary yao ni mia 7 take hme with full meals no accomodation ipo tegeta dar.ni ya turuki niko kama mwalimu wa biology and practical.je ajira zkitoka nifanyeje?contract wananiletea march

feza nini
 
Jamani nisaidieni walimu wenzangu. Mimi naitwa Beatrice Mollel, nilishawahi kufundisha ktk wilaya ya Kwimba. Kutokana na sababu zilizokuwa juu ya uwezo wangu nilisimama kazi kwa muda. Mwaka jana nikaomba ajira upya na kupangiwa wilaya ya Hai, nikafanya kazi kwa muda wa miezi 6 bila mshahara, nilipofatilia nikaambiwa siyambuliki kama mwalimu ktk wilaya yao. Sasa nipo nyumbani. Naombeni msaada wenu. Nini nifanye ili niweze rudi kazini.
 
Kaka yangu alipatwa na mkasa kama wako na alifanikisha mikakati aliyoitumiaaa nicheck inbox
 
eeh labda anayetangaza ajira kenda msiban jama tuwe na subira na kuwaombea familia ya capt. K, hususan ktk kipind hki kgm!
 
majina bado hayajatoka ila tarehe ya kurpoti ni tarehe 01/04/2014
kuhusu majina subirien kidogo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom