KAZI KWELI KWELI
Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi? Fikiri, matumizi nyumbani: chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni.
Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu. Matibabu hospitalini, pesa ya walinzi kwa mwezi, sherehe za kuaga na kukaribisha mwaka mpya...