Tusimlaumu spika bure..........cv yake hii hapa,angalia education background.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusimlaumu spika bure..........cv yake hii hapa,angalia education background....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by only83, Jul 2, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nadhani wakuu yale anayoyafanya Madam spika bungeni yanafanana na CV yake hasa kwenye eneo la elimu...........kwa cheo kama chake nadhani tuliitaji mtu mwenye elimu kubwa zaidi.........................
   

  Attached Files:

 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  tatizo liko wapi kwenye hiyo cv?
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu spika hana special skills ambacho kwangu na-define special skills ni kama................
  1. Ability to go with others
  2. Kusoma majira na nyakati tulizopo....................nk
   
 4. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  knowledge bt experience zaidi na uwezo binafsi wa kufikiri na kukabiliana na changamoto mbalimbali
   
 5. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tulihitaji mtu mwenye angalau degree ya pili ya sheria with proven experience.
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Duh!@!!
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ka-mobile device kangu hakawez kudownlodi
   
 8. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Halafu aliipata hii siku nyingi sana .So much has changed na yeye yuko kwenye sirikali muda wote she is out of touch na ndoto za CCM kushika utamu kumbe anaimaliza CCM .
   
 9. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,467
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  CV yake mbona haina matatizo tuseme mengine.
   
 10. k

  kalokolaVIII JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  What an astoning Curriculum Vitae!!!!
  - No DEGREE COURSE
  - No SPECIAL SKILLS
  - No RICOGNITION
  - NO PUBLICATION

  I'm highly troubled to learn that these are the qualifications which led to her "appointment" though I think on special skills they could have written " MPIKA CHAI KATIKA OFISI YA TANU - MAKAO MAKUU that is really what she used to do.
  Hayo mambo ya kuongoza Wizara au Mikoa hayana maana yoyote by the way labda wengi wenu hamfahamu kuwa Marehemu Bibi Titi Mohamed ambaye alikuwa kama sikosei waziri wa kwanza wa kike, alikabidhiwa wizara bila kujua kusoma wala kuandika, so that should tell you all!!!

  so sorry for my beloved Country!!!
   
 11. k

  kalokolaVIII JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  If you can't see anything wrong of that Curriculum Vitae in respect to the position she has in the Tanzanian state then evidently we're rotating in different orbits - i won't ask for ur CV - " si parva licet componere magnis"
   
 12. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jamani kwani ofisi ya Bunge haikupewa hii Cv au hakuna vigezo walivyoweka ktk kugombea nafasi ya spika. Kuongoza nikipaji ndio maana MKAPA ni Mwana habari lakini alifanya vizuri ktk uchumi kuliko mchumi Kikwete. Kama unamashaka na vigezo hakuvifikia peleka pingamizi Bunge mkuu.
   
 13. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,135
  Likes Received: 7,390
  Trophy Points: 280
  Basi ndio maana!!,
  Nlikua najiuliza sana maswali mengi sana juu ya huyu mama
   
 14. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  She went to Mzumbe and graduated magna cum laude in her class (BBA-Accounting)........unless you don't trust Mzumbe University's credentials:)
   
 15. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  SEHEMU ZOTE ALIZOKUWA BOARD MEMBER MASHIRIKA NA TAAISISI ZIMEKUFA BADO KULIUA BUNGE TU NDIO KILICHOBAKI NA KWA JINSI HALI NINAVYOIONA MWISHO WA BUNGE UNAKARIBIA.

  [TABLE]
  [TR]
  [TD]National Bank of Commerce
  [/TD]
  [TD]Board Member
  [/TD]
  [TD]1978
  [/TD]
  [TD]1983
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Surveyors Building Contractors Consultants
  [/TD]
  [TD]Board Member
  [/TD]
  [TD]1978
  [/TD]
  [TD]1983
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Tanzania Railways Corporation
  [/TD]
  [TD]Board Member
  [/TD]
  [TD]1977
  [/TD]
  [TD]1983
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Tanzania Legal Corporation
  [/TD]
  [TD]Board Member
  [/TD]
  [TD]1977
  [/TD]
  [TD]1983
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Mbeya Textile Company
  [/TD]
  [TD]Board Member
  [/TD]
  [TD]1977
  [/TD]
  [TD]1983
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]National Textile Company
  [/TD]
  [TD]Board Member
  [/TD]
  [TD]1976
  [/TD]
  [TD]1983
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Tanzania Elimu Supplies
  [/TD]
  [TD]Board Member
  [/TD]
  [TD]1976
  [/TD]
  [TD]1983
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]The Public Accounts Committee of the Parliament
  [/TD]
  [TD]Member
  [/TD]
  [TD]1975
  [/TD]
  [TD]1983
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Tanzania Audit Corporation
  [/TD]
  [TD]Auditor
  [/TD]
  [TD]1975
  [/TD]
  [TD]1976
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]The Institute of Development Management-Mzumbe
  [/TD]
  [TD]Board Member
  [/TD]
  [TD]1971
  [/TD]
  [TD]1976
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  cv haikupelekwa bungeni ila vigezo vilikuwepo na kigezo kikubwa kiliktwa mwombaji yyt ale kiapo kuwa atawaonea wapinzani na atailinda ccm na viongozi wk wt kwa nguvu zake zote, yy alishinda kwani alikta na vigezo vyote
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  cv haikupelekwa bungeni ilipelekwa chamani na vigezo vilikuwepo na kigezo kikubwa kiliktwa mwombaji yyt ale kiapo kuwa atawaonea wapinzani na atailinda ccm na viongozi wk wt kwa nguvu zake zote, yy alishinda kwani alikuwa na vigezo vyote
   
 18. S

  Sakane Member

  #18
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  I dont think so for what you conclude to Madame Speaker, Mungu amemuumba binadamu na karama nyingi tu, apart from Eimu inayomsaidia mtu kuweza kuwa na kifra zaidi ila kuna Hekima na Busara havina shule, Madame speaker ana mtazam o wa kueleweka, ana fikra, ana busara na anapenda changamoto, sasa ndugu zangu mnamlalamikia Madame Speaker pamoja hawezi kuwa 100% perfect jua kila binadamu ana udhaifu wake. Just imagina aliyemtangulia sidhani kama alikuwa perfect kiasi mnavyofikiria alikuwa ni mtu wa majungu, embu jaribuni kuangalia background yake kama kweli alikuwa ni mtetezi ama alikuwa ni mtu wa majungu, fuatilieni alipokuwa CDA kwanini Nyerere alimtoa? Alipokuwa spika fuatilieni alikuwa anakaa kwenye nyumba yenye gharama kiasi gani kilichokuwa kinalipiwa na serikali (USD 8000/pm) mzalendo huyu???, alipandisha what is so called posho za kujikimu, mishahara ya wabunge, na mambo mengi tu ndani ya bunge lililopita, tusimhukumu mtu, historia ndio itakayomhukumu
   
 19. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,876
  Likes Received: 2,827
  Trophy Points: 280
  Mbona iko vizuri tu wakuu!!

  Mbona hao tunaosema wanaMi-degree sijui ya kitu gani wamechemsha vibaya? Ona Waziri wa umeme ana degree sijui ya kutoka Harvard University (Chuo kinachoheshimika duniani) lakini anafanya madudu gani hapo? Njoo kwa Mkulu sijui naye eti ana shahada ya uchumi (tena kutoka UD) nini amefanya kwenye uchumi kama siyo uchumi-a tumbo!

  Madam speaker tusimwonee amesoma wazee!! Pia tukumbuke kuwa enzi hizo (sikumbuki kama mpaka sasa hivi) Advanced Diploma ilikuwa sawa na shahada ya kwanza mtu alikuwa anaweza kutoka hapo na kuingia Masters kwa kutumia hiyo hiyo Advanced Diploma yake.

  Mama umesoma ila unachemsha ki-CCM CCM tu! Mbona wenzio huko kwenye chama nao wanachemsha pamoja na mi-degree yao!!!
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tehe tehe ndo maana tupo hapa tulipo!
   
Loading...