Umri wa kustaafu kwa mfanyakazi serikalini

Sakane

Member
Jun 4, 2011
21
4
Hebu tujikumbushe: kwa mujibu wa sheria za nchi hii, muajiriwa wa serikali anatakiwa astaafu akiwa na umri gani? Mawaziri, wabunge, majaji na wengine wote waliopo kwenye ajira, umri wao unaruhusu?
 
Back
Top Bottom