Dr. Asha Rose Migiro aagwa rasmi Umoja wa Mataifa (UN)

wewe jamaa lazima utakuwa genius,sijui umejuaje hili,mpa muda lazima this year haitaisha kabla ya kuteuliwa kuwa MBUNGE:peep:

Namtambua Rais wangu jinsi anavyotii sketi. haimpiti kabisa
 
Hamna kitu Huyo. Jambo gani amelifanya kwa kuwanufaisha Watanganyika huko U.N.
 
Ajiunge Chadema itakuwa very surprising action ever......then agombee urais mwaka 2015
 
Mtu yeyote hata kama msafi akiwa ndani ya CCM na nchafu tu... Maana atakuwa anashiriki kulinda maovu na wezi wa rasilimali za kitanzania... Safari hatutaki Rais mwenye kaharufu ka mambo ya nje, tunataka Rais ambaye atakuwa anaumiza kicha kwa ajili ya Tanzania na watanzania..

Siyo Rais ambaye katika miaka mitano mwaka mmoja yoko angani au nchi za nje.

safi sana, i like your comment.
 
Aliomba mwenyewe kutokuendela mpaka 2015 aje kujenga mazingira natimu ya kampeni na kujiandaa kwa ajili ya 2015 kwakuwa angekaa mpaka muda huo asingepata muda wa kujiandaa unajua M4C nayo inakuja vibaya
 
Tanzania ya leo inahitaji majembe kama marehemu Nyerere na Sokoine...

Mh Mb wa Vunjo Dr Mrema nae alipambana kinazi na walafi wa Nji(Nchi) hii..., ila bahati mbaya hakuweza kufanya kazi kwa ushirikiano na wenzie.

Bla blaa za madiplomatics hazitatusaidia, mfano Mh Prof Tiba ameonyesha udhaifu wake, kila jambo linalotaka ufumbuzi wake anawapelekea wasaidizi wake.

Mh Dr Migiro, kaa karibu na Mh K Ban, atakutupa sehemu tuu ya kula maisha, kama Mh K Annah, ambaye kapewa kazi ya kutafuta usuluhishi Syria, Hapa Africa kuna Migogoro mingi tuu, sehemu mbali mbali, utaweza kuiwakilisha UN huko ktk kutatua Migogoro hiyo.

Bongo inahitaji Majembe ktk kipindi hiki cha mpito wa kuelekea matayarisho ya katiba mpya na ukombozi wa kifikra...!
 
Akili ni nywele kila moja na zake, na mawazo kutofautiana ni sawa kabisa, wanaosifu wasifu ama kwa dhati au kwa kejeli, na wanoponda waponde kwa chuki binafsi, ukweli unabaki palepale, she has done well, very well, madame asharose congratulations and well come back home, penye ukweli uongo hujitenga, play your part. Nakuombea mungu akutangulie na mabaya akuepeshie.
 
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon akiwa na Dkt Asha-Rose Migiro katika hafla ya kumuaga rasmi iliyofanyika leo katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa baada ya kumaliza muda wake kama Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Kumbe ka-asharose kamezeeka eh?
 
Back
Top Bottom