Recent content by Sainzoga n

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nani atuthibitishie hili: Baadhi ya kampuni za mabus mikoa zinahonga ma-RTO ili zisipigwe tochi njiani?

    Heading yako na content ndani haviendani, juu umetuhumu na ndani Inaonekana hujui ulichotuhumu Bali unauliza! Be careful no research no right to talk
  2. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za kitoto zinatutia hasara sanaa

    Well said, Kwani inazuiwa kumkubali Mh ukiwa huko uliko, bakini huko, mumuunge mkono tajiri mkiwa huko huko.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo Simba itakosa ubingwa msimu huu??

    Wapenzi watamsambaratisha Manara msemaji wao Ambae kila kukicha anaficha ubovu wa timu yake na kulalamikia mambo yasio na maelekezo. *Hamna kitu hapo*
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Hhhhhhh!!!!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anapokea mshahara mdogo kuliko Marais wote Afrika Mashariki

    Mbona hujaweka Rais wa Burundi?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji kutuhumiwa kutumia dawa za kulevya ni kwamba ameshaishinda Serikali kabla ya hukumu

    Hata hvo hiyo kesi iliisha siku ile Mkemia aliposema Kwenye ushahidi kwamba hajui Mkojo aliopima km ni wa Manji au Askari, Hayo Mashaka yanatosha kuupa faida upande wa Manji
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji kutuhumiwa kutumia dawa za kulevya ni kwamba ameshaishinda Serikali kabla ya hukumu

    Tupe na cross examination dhidi ya huyo daktari bingwa km alikuwa upande wa utetezi. Km alikuwa upande wa serikali Tupe re examination
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dogo wa kiduku hajamung'unya maneno: Aeleza sababu ya kujiimarisha kwa nyuklia.

    Yaani, Hata Mimi namfurahia huyu Dogo, wanapiga kelelee, yeye ana test kitu. How comes, one country to be He and the rest countries in the world to be she!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Kwema? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Majaribio jamani, Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kula bamia kwa wingi uume umegoma kulala

    Mmh, Kwa hiyo upungufu wa nguvu za kiume ni janga la Taifa? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kama una hela ya mawazo, epuka kuwa kwenye mahusiano na mwanamke masikini

    Umenena Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Uongozi bora Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom