Siasa za kitoto zinatutia hasara sanaa

Siasa za kitoto zinatutia hasara sanaa

Mwenye nchi yupo mbinguni we ndo unajifanya mwenye nchi...pambaneni na hali zenu
Taifa halina maji wala umeme wauhakika ,huduma za afya zenyewe kizungumkuti pesa nyingi zinaishia kwenye mambo ya kipuuzi kabisa ,huu mfumo wa siasa ambao mnajoona ,meubuni kama ni wa kijanja kwenu kwakweli tunao umia nini maana pesa zetu wenyewe zinatumia hovyohovyo utadhan nchi inaongozwa na watu wasio na shule kabisaa.
 
Mleta hoja kuna jambo la kujifunza kutoka kwako japo wachangiaji wengine humu aakili zao zimebebwa zaidi ya mapenzi ya kichama ambayo sio halisia.
Hiki kinachofanyika sasa cha kuwanunua madiwani na wabunge sio utoto tu bali ni zaidi ya utoto! Na hii ni kwasababu katika teuzi zake anazofanya za wakuu wa mikoa na wilaya kajaza watoto ambao aliwanadi kuwa ni rika analolihitaji katika kuijenga nchi! Ona nchi inavyojengwa kwa kuwanunua viongozi kama bidhaa huku wakishindwa kutatua changamoto za maji, afya na elimu zilizopo kwenye wilaya na mikoa yao. Yaani wanaona raha kumnunua mtu mmoja ambaye atatutia hasara ya mabilioni kwenye marudio ya uchaguzi! Kweli huu ni zaidi ya utoto!
 
Tumechoka mkuu, mtu hawezi kututia hasara ya mabilion kwa kauli yake ya kipuuzi kabisa et ana hama chama kumuunga mkono rais.
So kuhama na kutoa sababu kwamba huungi mwenendo wa siasa hapa nchini sio sababu nyepesi yenye kutia hasara!!!!!!
 
Huu mtindo ni wa ajabu sana. Watu wakubwa wanaushangilia sijui faida yake naona hasara tu,!
 
Kumekuwepo na hama hama za wabunge kutoka chama flani kwenda chama flani, sababu kubwa ikikisiwa kua et wamemkubali Rais, na japo kuna stori za chini ya kapeti ambazo sio rasmi zinadai kumekuwepo na ununuzi wa watu hao au kubanwa kwenye biashara zao na vitisho vingi, sasa sisi wananchi hatuna shida na maamuzi yao na makubaliano yao, ila tunataka tu kuwakumbusha tu kuhama kwao kwa sababu za kawaida na za kitoto kama hizo zinatutia hasara kubwa sanaa.

Uchaguzi mmoja wa jimbo unaweza kugharimu mpaka bilion 5 kwa estimation za kawaida, pesa ambayo inaweza kujenga mahospital na mashule kadhaa kwenye jimbo husika, au kukarabati na kujenga barabara za jimbo kwa kiwango kizuri sanaa.

Tunawaomba wabunge wote wamkubali rais ili tusave pesa muda au basi wamkubali wakiwa huko huko kwenye vyama vyao na sidhani kama wananchi tutawaelewa vibaya.

Na wale wanaotuhumiwa kununua hao wanao hama wakumbuke tu kua wanafanya kazi bure wenye maamuzi ni sisi wananchi na kamwe hatuwezi kubadilisha misimamo yetu ya kisiasa et kisa mbunge kabadilika basi ata tu win na sisi, no hawatofanikiwa. Wananchi wa sasa wanajua karibu kila kitu kinavyoendelea hakuna jipya.

NEC andaeni mpango hawa wanaojiuzuru kwa njia za namna hii basi wajue kabisa hakutakua na uchaguzi mwingine mpaka 2020, walio wengi hawana impact kwenye majimbo yetu yaani wawepo au wasiwepo ni sawa tu.
Well said, Kwani inazuiwa kumkubali Mh ukiwa huko uliko, bakini huko, mumuunge mkono tajiri mkiwa huko huko.
 
Munalia na 5b wakati kwe2 ni 50b naya kurudiwa ilikua 14 b .......kwa tz c.wote wanapiga kura
 
Nyalandu ndiye aliwafungulia njia na kuona kumbe kuachia jimbo inawezekana.
 
Back
Top Bottom