Recent content by said sabari

  1. said sabari

    Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Chamazi

    Mkuu hiyo figure achana nayo maneno yapo hapo ni milioni tatu na nusu.
  2. said sabari

    Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Chamazi

    Tatizo shule mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. said sabari

    Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Chamazi

    Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya chamazi mkabala na shule ya fahari English medium km chache kutoka kituo kiitwacho bamia..! Kiwanja ni square meter 50 kwa 50 Bei ni shilingi (350,000) milioni Tatu na nusu. nipigie tuongee 0782714842 Whatsaap namba 0718245791
  4. said sabari

    Wakuu msaada namna ya kuifanya blogspot yangu ionekane mtu aki search google

    Hiyo kuna wataalam wanaweza mkuu mie siiwezi..
  5. said sabari

    Wakuu msaada namna ya kuifanya blogspot yangu ionekane mtu aki search google

    Mkuu ili website au blogg yako ionekane google lazima ifanyiwe kitu inaitwa seo ( search engine optimazation) au kuna kitu wanaita backlink na sio mara moja ni lazima ufanye mara kwa mara ili uzipiku website nyingine maana kuna ambazo zipo top na bado wenyewe wamewekeza pesa kwa ajiri ya seo...
  6. said sabari

    Modem inanizingua

    Mkuu jaribu huo ushauri wa chief
  7. said sabari

    Nauza line za uwakala

    Wadau nina hitaji haswaa hizo line lakini tatizo sina uelewa nazo nahofu maana town janja janja nyingiii
  8. said sabari

    INAUZWA Line ya tigo pesa

    Punguzo lipo mkuu au ni top top hapo..!!
  9. said sabari

    Naombeni ushauri juu ya line za uwakala

    Wakuu naomba mwenye uelewa mzuri na hizi line za tigo pesa au mpesa nk anieleweshe vizuri akitokea mtu anataka kuniuzia ni jinsi gani ya kuijua ufanyaji wake wa kazi?? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. said sabari

    Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

    Hahahahaha dakika 5 kojoa geukia ukutani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi umenivunja mbavu walah..! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. said sabari

    Je, Una Kipaji cha Utangazaji? Jinsi ya Kujiajiri Utayarishaji na Utangazaji Vipindi Vyako vya TV

    Samahani sana wakuu swali langu ni je ni lazima kusoma jounalism ndo uwe presenter ama? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. said sabari

    Natafuta Wahasibu 3 na Customer services 3

    Sijaelewa freshi wadau customer service diploma ya course gani?? Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  13. said sabari

    Naomba kufahamu Garama za kutengeneza Application

    Kwa huduma ya application tuwasiliane hapa mkuu kama bado hujapata.. 0718245791
  14. said sabari

    Haya swahibah zangu mchongo toka india

    Hello Friends, Convert Ur Android Phone Into ATM [emoji298]Great news!!! Now u can do big - Hello friends...Great news!!! Earnings thru ur mobile... Your mobile can gives you different types of earning and it's 100% legal, 100% risk free and. 100% logical... Nw u will do affiliate thru ur...
  15. said sabari

    Wasanii wajitambue na wajue kuwa wao ni vioo vya jamii

    Karne hii baadhi ya wasanii wanajichetua mno maadiri ya mtanzania miaka 10 ijayo sijui itakuaje inasikitisha sana...
Back
Top Bottom