Natafuta Wahasibu 3 na Customer services 3

This is the registered company, it doesn't need either Mwanasheria or Baunsa....... We work with small enterprise ambao wako registered pia and they have got authority ya kukufilisi endapo mteja hajafanya marejesho.!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app

Hongera sana bibie nlijaribu tu kutoa ushauri!! Nakutakia kila heri!!
 
Natafuta Wafanyakazi Wahasibu Watatu na Customer services Watatu ambao Wataweza Kufanya kazi Katika Kampuni yangu.... Kampuni inahusika na Ukopeshaji Wa Fedha hapa hapa Dar es salaam. Sifa Diploma holder au Digree. Any one interested atume Maombi yake : Email sararaphael088@gmail.com.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Me tayaree....nasubr wema wako tu Dada

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
This is the registered company, it doesn't need either Mwanasheria or Baunsa....... We work with small enterprise ambao wako registered pia and they have got authority ya kukufilisi endapo mteja hajafanya marejesho.!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
hii kiswahili yako kama unatoka nairoba
 
Natafuta Wafanyakazi Wahasibu Watatu na Customer services Watatu ambao Wataweza Kufanya kazi Katika Kampuni yangu.... Kampuni inahusika na Ukopeshaji Wa Fedha hapa hapa Dar es salaam. Sifa Diploma holder au Digree. Any one interested atume Maombi yake : Email sararaphael088@gmail.com.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app

Hongera kwa kusaidia watanzania wenzako lakini hapa mjini wajanja wajanja wengii, nakumbuka nilishawahi pata kazi sehemu kama hizi mwisho wa siku wafanyakazi tulisota rumande wenye kampuni walisepa zao maana walikuwa wanafanya mtindo kama wa Deci, ukipandanm ndio unakopeshwa, watu wakapanda pesa nyingi kilichotokea wenye kampuni wakatoroka na pesa zilizopandwa wafanyakazi tukawa tunasota rumande kuisaidia police.

Mnaotafuta kazi muwe makini sana .
 
Hongera sana kwa kuamua kuajili hasa kipindi hiki ambacho idadi ya watafuta ajira ni wengi mno kuliko nafasi zilizopo sokoni.
 
Sijaelewa freshi wadau customer service diploma ya course gani??

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
mhili liza watu wengi sanaaa
Hongera kwa kusaidia watanzania wenzako lakini hapa mjini wajanja wajanja wengii, nakumbuka nilishawahi pata kazi sehemu kama hizi mwisho wa siku wafanyakazi tulisota rumande wenye kampuni walisepa zao maana walikuwa wanafanya mtindo kama wa Deci, ukipandanm ndio unakopeshwa, watu wakapanda pesa nyingi kilichotokea wenye kampuni wakatoroka na pesa zilizopandwa wafanyakazi tukawa tunasota rumande kuisaidia police.

Mnaotafuta kazi muwe makini sana .
 
Natafuta Wafanyakazi Wahasibu Watatu na Customer services Watatu ambao Wataweza Kufanya kazi Katika Kampuni yangu.... Kampuni inahusika na Ukopeshaji Wa Fedha hapa hapa Dar es salaam. Sifa Diploma holder au Digree. Any one interested atume Maombi yake : Email sararaphael088@gmail.com.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Habari mkuu, mwisho wa kutuma ni lini?
 
mim nina certificate ya customercare naweza kuomba hyo nafasi??ningependa kujua samahani kama nitakua nimekosea!
 
Bibie mm nina BBA ya Entrpnshp na nina uzoefu wa zaidi ya miezi kumi kwenye microfinance.
 
Mimi ni holder wa diploma ya taxation naweza kutuma pia , au limitation kwa aliesoma financial accounting pekee??

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
nyie tumeni tuu maombi yy ndo atachanganua uko ujue wasomi wetu nyie cjui mnanini ww ukiona tangazo la kazi we tuma tu maombi usiangalie wanataka watu wa aina gani ww kama umesoma business na iyo kazi ina relate na maswala ya business we tuma tuu usijiulize you never know uko kama umesoma procurement,account,tax,marketing,HR cjui nini ww tuma tuuu kazi zenyewe mnaenda pewa training uko ulichosomea na utakachofanya tofauti

NB;Darasani na kazini ni vitu viwili tofauti....
katoa email apo nyie tumeni tuu..
 
Back
Top Bottom