Recent content by Said S Yande

  1. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania A bill to reassess the United States-Tanzania bilateral relationship, and for other purposes.

    Kwani Marekani kuna nini mbona watu wamekuwa wakali kuhusu VIZA Twendeni URUSI TU.
  2. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania Azam wamefuta post kuhusu mahojiano na Rostam. Ndio kusema wameogopa maoni ya wananchi na interview imeahirishwa?

    Azamtv wameamua kukaa na recording ya mahojiano?
  3. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

    Mbeya weka namba moja
  4. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

    Kaka taarifa zitatolewa tu baadae.
  5. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania Kikatiba Muda wa Rais unaisha Bunge linapovunjwa. Inakuwaje Uteuzi na Utenguzi unafanyika kipindi hiki?

    Tatizo lako unafananisha Tanzania na nchi nyingine,sisi ni Tanzania sio nchi nyingine:p
  6. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

    Jitahidi uwe unahudhuria kikao unamtumiaje Malaya 300k,shukuru huyo jamaa ako anayehudhuria vikao kakusanua kuhusu ya kutolea.
  7. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania Katiba Ilidhamiria Watu Wawe Huru Kushiriki Uchaguzi kwa Uhuru wa Kuchagua Viongozi Wanaowataka na Uhuru wa Kugombea,Uhuru Huo Haupo!ni Dhambi Kubwa!

    Hii kitu inapaswa kufunguliwa kesi ila kupata tafsiri ya mahakama Tena kwa hati ya dharula,lakini mahakama zetu ndio hivyo Tena.
  8. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania Kuku wa Polepole alikula 'punje' nne za ubalozi. Sasa anatapa tapa

    Kwani ameenzisha vita au anahoji tu utaratibu wa chama kama umefatwa,ingekuwa busara angejibiwa kuliko hizi persanal attack.jiekezeni kumjibu polepole kwa hoja.
  9. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania Bado nayakumbuka maneno ya hekma ya yule mzee

    Mzee naomba nikufate dm kwa ufafanuzi zaidi
  10. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania Bado nayakumbuka maneno ya hekma ya yule mzee

    Wewe na mimi tu
  11. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania Ninawaomba DStv wajitafakari kwa kupandisha gharama zao kila kukicha

    Nadhani wanatapunguza kufikia oktaba kwani imenunuliwa na mmliki mpya ambaye ni canal sport
  12. Said S Yande

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mhojaji 🗣️: Unajisikiaje kuhama kutoka klabu kubwa ya Manchester hadi klabu nyingine kubwa nchini Hispania? Marcus Rashford 🗣️: Nani alisema Manchester United ni klabu kubwa? 💀
Back
Top Bottom