hali ya eneo la kuanzia mkuranga, kibiti, ikwiriri na kuendelea tunasikia kila siku viongozi wa serikali za vijiji na raia wengine wasio na hatia wanauawa na watu wa aina hiyo mlitaka polisi wafanyeje ikiwa juzi tu aliuawa oc cid kibiti na watu wa dizaini hiyo hiyo...
mm simu yangu nime-install netqin antivirus ambayo ina prog ya anti lost na kuna wakati nillibiwa mtaa wa Congo na baada ya masaa 24 nilifanikiwa kuipata simu. Ni vzr ukiwa smartphone kuinstall prog kama hizi zinasaidia but vinginevyo kuipata simu ni ngumu sana once ukiibiwa au kuipoteza..
toka Gadner aomdoke Clouds fm kpnd cha Jahazi kimepwaya, nilikuwa msikilizaji mzuri sana wa kipindi hicho lkn kwa sasa nasikiliza Maskani cha Gadner kiko poa sana kuliko Jahazi ya sasa
Nimesoma maoni ya wadau mbalimbali nimeyafurahia sana. Hii inaonesha ni jinsi gani watu walivyo na mwamko. Nadhani huu ni muda muafaka wa kutoa fundisho kwa viongozi wenye kauli za kijeuri na kutowathamini wananchi waliowaweka madarakani ambao ndio nguzo ya uchumi wa nchi hii na hata wao kuwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.