Jahazi la Clouds vs Maskani ya Times FM

Jahazi la Clouds vs Maskani ya Times FM

wana JF nipo sehemu nimekaa nasikiliza radio times na kuna kipindi cha Gadner G. Habashi kinaitwa Maskani. hiki kipindi kinaburudisha kwa story, muziki na burudani za michezo. kwa mtazamo wangu ni kipindi kizuri zaidi ya jahazi cha clouds fm. hakina makelele, masihara wala mambo ya kijinga kama yakina kibonde na wasiwasi wake. nimekompare kwa sababu ni vipindi vyote vya jioni. na ikumbukwe kuwa Gadner ni mwanzilishi pia wa jahazi inawezekana yeye alipoondoka basi kipindi kikapwaya na sasa uhondo upo Times . Huu ni mtazamo wangu tu wadau
Hiyo redio inayosikika Dar pekee unailinganishaje na Clouds ninayoisikiza hapa Kahama?


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
toka Gadner aomdoke Clouds fm kpnd cha Jahazi kimepwaya, nilikuwa msikilizaji mzuri sana wa kipindi hicho lkn kwa sasa nasikiliza Maskani cha Gadner kiko poa sana kuliko Jahazi ya sasa
 
Back
Top Bottom