Ukiachana na tabia za watanzania lakini nchi hii ilifika mda tupate raisi ambaye atakuwa anafanya maamuzi magumu kwa ajili ya manufaa ya taifa na RAISI Magufuli alipendwa sababu ya kuwaweka sawa watu wa hali ya chini na wajuu kwenye kundi moja bila mmoja kupewa kipaumbele, zamani ilikuwa tajiri...
Jamani nimenunua kiwanja kikubwa tu lakini mm sijajenga na mama yangu hajajenga na hana kiwanja na karibu anastaafu sasa nilikuwa nataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu nikaona baadaye itakuja kuleta shida maana nina dada wawili na mm wa kiume pekee yangu.
Nimeona nikijenga ya vyumba vitatu na...
Mm nilienda rita siku moja nikapata cheti cha kuzaliwa [emoji1787] nakushauri ukifika pale uliza MZEE anaitwa ELIA NENDA OFISINI KAONGEE NAE ATAKUSAIDIA
Inshu ni wakimbizi kama jamaa alivyosema.. Ulaya inaangaika ili kuzuia kuongezeka idadi ya wakimbizi kwani ikitokea vita ni nchi za ulaya ndo uathirika zaidi
Kaka mm mwenyewe nimeoa mwanamke wa kizungu, mjerumani tulikutana Facebook last year November na nimemuoa mwezi wa sita tarehe 25 cha msingi ni kwenda kwa mkuu wa mkoa na elfu hamsini siku 20 kabla ya ndoa na watataka copy ya passport yake u nasubir tarehe ifike umemaliza sana sana watataka...
Kaka mm nimepiga mwaka wa kumi na tano chaputa ila ngoma bado kamshange nashangaa ww miaka nane unalia lia sasa kwa taharifa yako nilipata mwanamke kama wiki tatu nyuma nilipiga bao nane za nguvu sio za kitoto nashangaa ww miaka nane unalia lia, tatizo sio chaputa tatizo ni mind set yako
Samahan jamani nimecheki magonjwa kibao sikutwi na tatizo lakin mtu bado najihisi naumwa, ukimwi ndo karibu mara nane sasa tangu mwaka uanze lakini hamna kitu nataka kujua nikipimo gani unaweza pima magonjwa yote na ni sh ngap??
Nimefanya vipimo vyote, tumia dawa zote za kuhusu tatizo na kifua kuuma upande wa kulia kwa mda Sasa lakin sina kuanzia, ecg echo, damu kupima mgonjwa mengine kama dengu, maralia yote sina.. Nataka kujua kipimo cha kucheck mapafu,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.