kyaibumba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 715
- 1,009
Uzuri wa dubai work permit unataftiwa na aliyekuajiri,Nimekuelewa Mkuu;
Changamoto:
*Sina hiyo 2ml ya kudepost.
*Sina yeyote ndg/rafiki/jamaa aliye huko.
*Kuhusu Gharama ulizoorodhesha ninazo/naweza kupata*
OMBI:
Una mtu yeyote aliyeko huko(Mwaminifu) uniunganishe nae NIMTUMIE HELA ANITAFUTIE VISA?.
SWALI?.
IKITOKEA NIKAPATA KAZI NDANI YA HIYO MIEZI 3.
JE,NARUHUSIWA KUBADILI VISA NA KUPEWA WORK PERMIT(KUANZA KUFANYA KAZI) BILA KUTOKA KWANZA NJE YA DUBAI?.
WITO:
Ndg wana jukwaa mlio Dubai nahitaji msaada wenu katika hili.
Ninaweza nikakuunganisha na mtu akakutaftia maana kipindi niko dubai nimekaa hata abu dhabi, sharja ,fujaira na maeneo kibao,
Hivyo ni pm au nipate kwa simu nadhani namba yangu unayo,
Yaan we ukipata visa ukapata kazi anayekuajiri ndo anakutaftia permit ya kuishi na kazi, kwa dubai, hata nchi nyingine ni hivo, ila kwa baadhi ya nchi unakuta waajiri hawana uwezo mnashare gharama,
Ila sasa huyu atakayekupa visa utamuongezea yake ya soda badala ya 200 anaweza kataka 300 USD