Nisaidieni Ndugu zangu

Jul 11, 2019
5
0
Mimi ni kijana wa miaka 20 nilianza kujichua miaka 8 iliyo pita sikujua kwamba kuna mazara kwaiyo niliendelea na mchezo ule siku hangaika na wasichana paka sasa ndiyo naona mazara yake nguvu zimepotea nikiwa katika tendo la ndoa sekunde 30 tu nimeshafika kileleni paka naona aibu ebu nisaidieni ndugu yenu kuna uwezekano wa kurudi kwenye hali yangu ya kawaida ?
 
Kama uliingia Chamani bila kufuata sheria, fanya hima uzifuate sheria...
 
Mimi ni kijana wa miaka 20 nilianza kujichua miaka 8 iliyo pita sikujua kwamba kuna mazara kwaiyo niliendelea na mchezo ule siku hangaika na wasichana paka sasa ndiyo naona mazara yake nguvu zimepotea nikiwa katika tendo la ndoa sekunde 30 tu nimeshafika kileleni paka naona aibu ebu nisaidieni ndugu yenu kuna uwezekano wa kurudi kwenye hali yangu ya kawaida ?
Afu naskia ukianza mapema hua inakuachia

zawadi ya kibamia.
 
Wacha wasiwasi Kijana mbona sisi tumeingia kwenye Chama (CHAPUTA) tokea shule ya Msingi, Sekondari, Chuo mpaka kwenye ajira bado tunagonga puli halafu tupo fiti.

Wacheni kuitangazia sifa mbaya Puli.

Fahamu kuwa "Energy neither created nor destroyed"

Kwahiyo hakuna dawa za kuongeza nguvu za kiume bali utaibiwa tu kwa kuuziwa dawa (Vega/Viagra au Mitishamba) za FALSE ENERGY za Show Moja.

Dogo komaa na Sekunde 30 then utabadilika tu..

Labda nikupe ujanja: Piga mzigo uwatapike Wazungu kwa hizo Sekunde 30! Then unaendelea na Story na Mambo mengine mpaka kama baada ya dakika 20 hivi unakula tena Mzigo nakuhakikishia Utagonga kwa more than 40 minutes ndiyo Wazungu watajiachia.
Lakini tatizo munapenda wale Chapchapu wa Buku Jero.
 
Kaka mm nimepiga mwaka wa kumi na tano chaputa ila ngoma bado kamshange nashangaa ww miaka nane unalia lia sasa kwa taharifa yako nilipata mwanamke kama wiki tatu nyuma nilipiga bao nane za nguvu sio za kitoto nashangaa ww miaka nane unalia lia, tatizo sio chaputa tatizo ni mind set yako
Mimi ni kijana wa miaka 20 nilianza kujichua miaka 8 iliyo pita sikujua kwamba kuna mazara kwaiyo niliendelea na mchezo ule siku hangaika na wasichana paka sasa ndiyo naona mazara yake nguvu zimepotea nikiwa katika tendo la ndoa sekunde 30 tu nimeshafika kileleni paka naona aibu ebu nisaidieni ndugu yenu kuna uwezekano wa kurudi kwenye hali yangu ya kawaida ?
 
Jina lenyewe ndumila kuwili utakua unapiga shoo uku unawaza vitu vingine ndo maana unawahi
Mimi ni kijana wa miaka 20 nilianza kujichua miaka 8 iliyo pita sikujua kwamba kuna mazara kwaiyo niliendelea na mchezo ule siku hangaika na wasichana paka sasa ndiyo naona mazara yake nguvu zimepotea nikiwa katika tendo la ndoa sekunde 30 tu nimeshafika kileleni paka naona aibu ebu nisaidieni ndugu yenu kuna uwezekano wa kurudi kwenye hali yangu ya kawaida ?
 
Tumia kivuruge la kongo
Mimi ni kijana wa miaka 20 nilianza kujichua miaka 8 iliyo pita sikujua kwamba kuna mazara kwaiyo niliendelea na mchezo ule siku hangaika na wasichana paka sasa ndiyo naona mazara yake nguvu zimepotea nikiwa katika tendo la ndoa sekunde 30 tu nimeshafika kileleni paka naona aibu ebu nisaidieni ndugu yenu kuna uwezekano wa kurudi kwenye hali yangu ya kawaida ?
 
Kaka mm nimepiga mwaka wa kumi na tano chaputa ila ngoma bado kamshange nashangaa ww miaka nane unalia lia sasa kwa taharifa yako nilipata mwanamke kama wiki tatu nyuma nilipiga bao nane za nguvu sio za kitoto nashangaa ww miaka nane unalia lia, tatizo sio chaputa tatizo ni mind set yako
Pia nilikuwa mfuasi wa porn hub Pornhub
 
Wewe unaongea kweli
 
Pia nilikuwa mfuasi wa porn hub Pornhub
Chukua vitunguu swaumu punje kumi,chukua tangawizi kiasi pia chukua asali vijiko vitatu saga kwa pamoja usitie maji. Kula vijiko vitatu asubuhi na jioni kwa muda wa week mbili . alafu leta mrejesho
 
Ulianza kujichua una miaka 12... miaka hiyo ulikua ushabalehe kweli?

Any ways itakuchuka miaka mingine 8 kurudi sawa baada ya kuchana na kujichua...

Cc: mahondaw
 
Nitafute 0758722755 ninayo dawa nakupa kwa shilingi elfu 25 tu za kitanzania itakurudisha ktk hali yako ya kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom