Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,181
- 35,174
Kama ulipigiwa muhuli aina shidaaa..ayo majina yasi kuchanganye sana
Sio suala la sisi kuandika jina. Tulipeleka vyeti wakavihakiki wenyewe na kupiga mhuri. Iweje wajikanganye kwenye kuandika hayo majina waliyo hakiki wenyewe?