Recent content by sai sai

  1. S

    JamiiForums Tanzania DAR: Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana, ametuhumiwa kuvunja sheria ya makosa ya mtandao na kutoa takwimu za uongo

    Serikali ya kidikiteta kazi kukamata kamata tu hawana hoja kw nn wanatumia jeshi la polisi kujilinda?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tukio la Lissu linatuonyesha ukuu wa Mungu

    Kabisa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Kigwangalla, karibu Maliasili na Utalii. Anza na hawa majangili wa Ruaha National Park

    Umenena mkuu point zenye mshiko ila sasa cjui kama itawafikia wahusika
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sababu tano kwa nini marais wenye msimamo na wazalendo wataendelea kutoka kanda ya ziwa.

    Acha ushamba ww mleta mada
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Utoto huu wa mbunge Nassari na Lema, Watanzania tuwe wakali. Tutapoteza taifa

    Mtoa mada umevurugwa naona unajitahidi kutetea serikali ya chama chako lakini too late
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Mbowe, Lema & Nasari waache upotoshaji mara moja

    Kijana yupi achukue kadi ya ccm kwa uzuri aliotufanyia sisi vijana na kama wapo ni wale wasiojielewa na wanaonunuliwa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Mafunzo ya Uwalimu Monduli.

    Chuo kipo vzr tu cha msingi yeye ajiandae akapige book
  8. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ni popote pale ambapo fursa hupatikana

    Nakubaliana na mtoa hoja kwa asilimia 100
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ombi: 2020 Paul Makonda tunaomba ugombea ubunge jijini Dar es salaam

    Mtoa mada bashite kashinda vita gani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 19 injured after bus overturns near Konza, Mombasa road

    Victim get well soon Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je, Wanaoshangilia na Kupongeza Bajeti Wanajua Wanashangilia Nini? , Au Tunashangilia Ujinga?! .

    Bajeti hii inaweza kutupeleka pabaya mno kuliko watu wanavo fikiri haiwezekani sekta muhimu kama kilimo haijapewa kipaumbele afu pia unapoipandsha tozo kwene mafuta basi tegemea nauli ya kusafiri itapanda sion umuhimu wa kufuta kodi road license afu unaongeza kodi ya petrol
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 ni wa maamuzi magumu kwa jimbo la Kawe

    Mleta mada ni kada wa ccm zero brain huna lolote unajambajamba tu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa teuzi hizi hatukupi ushirikiano ng'o na usahau kuombewa, tushakuchoka!

    Mtoa mada umenena ila naona wakina bashite waliofoji vyeti wanaotumia makalio kufikiria watakupinga ila ujumbe umewafikia
Back
Top Bottom