Ndugu zangu na watanzania wote kwa ujumla,Kwa nyakati tofatuti tofauti,Tumeshuhudia Viongozi wa Chadema wakiendeleza siasa na Propaganda za Upotoshwaji zisizo na Mantinki na Mashiko kwa Mstakabali kwa Maendeleo ya Taifa.Nimefikiri nitolee ufafanuzi Baadhi ya mambo na Madai yaliyotolewa na Vigogo wa Chadema ambayo misingi yake ni kuendelea kujitafutia umaarufu kwa Matukio lakini pia Kuomba Rehema na Huruma za Wafuasi wao Baada ya kushindwa kutimiza Ahadi lukuki walizozitoa kipindi cha Kampeni 2015.
Suala la Wanachama na Viongozi wa Chadema kukihama chama cha CHADEMA kwa wingi na Kukimbilia CCM,sio tu ishara ya anguko la kundi hilo la Wababaishaji,Bali ni ishara ya kusambaratika na Kudidimia kwa Ufalme "Pinga Maendeleo Tanzania". Ndugu zangu watanzania na wapenda maendeleo,Kikundi hiki ni kikwazo cha Maendeleo Tanzania.Sasa kinaelekea Kuzimu kwa sababu Mamlaka ya Ibilisi haiwezi Jiinua katika Falme za Utukufu wa Mungu.
Nasema hili kwa dhati kabisa,Mimi binafsi,kwa kutumia mbinu za kukusanya taarifa na kuhoji katika Utafiti wangu,Nimejitahidi kukutana na Vijana wa chadema,Viongozi wa chadema,Wafuasi wa chadema na Washiriki wa UKAWA kwa wakati tofauti tofauti katika mikoa Zaidi ya 10 Tanzania ambayo ilikuwa ngome ya UKAWA.Nimefanya uchunguzi yakinifu na kupembua mambo kisayansi.
Ndugu zangu,Naomba mniamini tena kwa dhati na ninalisema hili kutoka moyoni,Idadi ya Vijana na watanzania kuhitaji KADI ZA CCM,imeongezeka Mara dufu kulinganisha na miaka mwingine yote tangu kuhasisiwa kwa vyama vya Siasa Nchini.Na ninalisema hili kwa kujiamini kabisa,Idadi ya Wafuasi wa chadema kukihama Chama hicho imeongezeka Mara dufu kulinganisha na Miaka mingine yote.Hii inanipa picha ya mambo kadhaa katika upembuzi wangu wa Kisiasa.
Wanachama wa na washirika wa UKAWA na Chadema ,Wamejinasibu kwa Muda tofauti wakisema mambo Yafuatayo.
1.Yote waliokuwa wakihitaji sasa Yanatekelezwa na Serikali ya Mh Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
2.Wamebaini nchi KUPIGA hatua kubwa na kwa kasi kimaendeleo.
3.Wamefurahi kwa namna ambavyo Serikali hii imekuwa ikitekeleza Ilani na Ahadi za CCM bila ubaguzi kwa Watanzania wote.
4.Wamefurahi kwa namna Serikali inavyopambana na Rushwa,Mafisadi,Kuthibiti mapato na Matumizi na Kutunza na kuthamini Rasilimali za Taifa.(Madini, Gesi,Misitu,Wanyama,nk)
5.Walisema mambo mengi ukiwa ni pamoja na Elimu bure,Huduma za Afya kuimarika kwa ubora nzuri,Huduma katika Taasisi za Umma (Uadilifu),Ulinzi na USALAMA,kupunguza kodi na Michango isiyo ya lazima kwa wafanyabiashara wadodo wadogo. Nk.Hizi zote ni furaha zilizooneshwa na kundi kubwa la Wafuasi wa Chadema na UKAWA katika Tafiti yangu.
Mbali na hayo wanachama hawa walionesha malalamiko yao na kuwalaumu viongozi wa Chadema kwa kushindwa kuwatumikia,na kuendelea kuwahadaa na kuwafanya mtaji wao kisiasa huku wao wakiendelea kuhangaika na kubanwa kifikra,kimtazamo na kuwa wafungwa kisiasa.Wameeleza kuwa hairuhuwi hata siku moja Kwa kiongozi na Mfuasi wa CHADEMA kukosoa au kutoa mawazo juu ya utendaji wa viongozi wao Hasa Lowasa,Sumaye,Mbowe,Lema,nk.Hao Inavyodaiwa huruhusiwi kuwagusa.
Na Ndio maana wao kama BAVICHA na wanachama wengine ,wamenidokeza na kuomba kutotajwa Majina yao,Wameandaa Mpango Mkakati kwenye Kauli mbiu "KAMANDA IHAME CHAHEMA-NI WAKATI WA KUJITAMBUA"- (KICHWA).Niliwauliza ni lini mtaanza kutekeleza mpango huu? Wanasema ulishaanza na Unaendelea Tanzania nzima.kwa sababu Wemejiridhisha na kuona CCM ndio Chama pekee kitakachowasaidia wao na Familia zao,Lakini pia wao na Taifa lao.
Aidha na Mimi siichiwagi na Kudodosa ,Niliwauliza Je Ni mbinu gani mnatumia kutekeleza mpango wa kukihama chadema wenye Kaulimbiu hiyo? Walisema,Brother tumechoka,Tumetumika sana na sasa viongozi wetu wote nchi nzima wataendelea kuihama chadema na UKAWA na kujiunga na CCM kadri siku zinavyoenda,Na Idadi Nitaendelea kuwa kubwa kadri mpango wetu utakavyokuwa ukitekelezwa nchi nzima.
Niliwauliza Je,Wanaoihama Chadema wamenunuliwa? Walisema hivi, " Hakuna anayenunuliwa hata Mmoja,Ccm Wana Wana Hela gani kununua CHADEMA Tanzania nzima,Tutaendelea kuihama Chadema na Hakuna MTU atakayetuzuia.Lema na viongozi wengine wa Chadema wanaomba Huruma ya WAPIGA kura wao."Tumewachoka,Walitutumia kama mitaji yao kisiasa,Walitupa viroba hata kutushawishi kushiriki Maandamano,Tulipigwa mabomu na virungu,Kumbe hatukujua kuwa sisi ni Mtaji wao."Walisema kwa hisia Kali.
ONYO: viongozi wa Chadema angalieni mmekosea wapi,Na sio kukimbilia kwa wananchi na waandishi wa HABARI Kusema ,CCM inawanunua viongozi wenu.Wakati ninyi mnahangaika kulalamika kuwa viongozi wenu wananunuliwa kumbukeni kuwa ,Vijana ,wafuasi,wananchama,Viongozi wa UKAWA na chadema nchi nzima Wana endelea kutekeleza mipango wao ujulikanao kama "KICHWA"-KAMANDA IHAME CHADEMA -NI WAKATI WA KUJITAMBUA"
Kabla hamjakimbilia kwenye Media na kwa wananchi,ni vema mkafanya uchunguzi la kwanini wimbi kubwa la Wafuasi wenu wanawakimbia? ,Je,Lowasa na Sumaye wa CHADEMA kwa kazi Maalumu?,Je Mbowe aliiuza chadema kwa Lowasa na Sumaye kwa Shilingi NGAPI? Je kuondoa kwa Dr.Slaa ni pigo kwa Chadema?Je kuendelea kuwafanya wafuasi na wanachama wa chadema kama mtaji imefika kikomo chake ?
Kiukweli,Ningalikuwa Mimi nilipashwa kujiuliza maswali haya na kuyapatia Majibu yakinifu kwa ili kuwa na Mwangozo nzuri kimantiki na sio kukurupuka bila Data,Bila Dira na bila Uchambuzi yakinifu wa mambo kadhaa yenye tija kwa Taifa.
"Usilolijua ni sawa na Usiku wa Giza" endeleeni kulalamika kuwa CCM inawanunua wafuasi wenu huku mkijua Wafuasi hao hao Wana endelea kutekeleza mapango wao mkakati wa "KICHWA"
Hongereni sana viongozi wangu wa chama chama Mapinduzi,(CCM),Kwa kazi nzuri.Mnakonga mioyo ya watanzania na kusababisha watanzania wengi sasa kufumbuka macho nakuja ukweli.Hakika mmetusaidia sana na mmekisaidia Kijazi cha Kitanzania.
"MOTO UMEWEKA CHADEMA NA WANAJITAHIDI KUUZIMA KWA KUUFUNIKA MAGUNIA"
Asanteni Sana.
Netho Ndilito
(Hard working & God Fearing Servant)