Ombi: 2020 Paul Makonda tunaomba ugombea ubunge jijini Dar es salaam

Wakuu

Nachelea kusema kwa sasa mh Paul Makonda hana mpinzani kwa jiji zima kufuatia vita aliyopigana nayo na kuishinda

Ni wazi RC huyu wa Dar anauwezo mkubwa kiutawala na mbunifu katika kutuletea wananchi maendeleo

Ushauri, Paul makonda kwa haya unayotufanyia wanaDar es salaam hakika unafaa sana kuwa mbunge wa moja ya majimbo ya jiji hili
Haikuhitaji wewe urudi huko koromije ukaanze kupambana na akina Gwajima wakati unaweza na wananchi tunakupenda tunakuhitaji pia

Kwa kuanzia tu, (majimbo yote unafaa) lakini zaidi ni vema ukatuondolea huyu Halima mdee huku kawe maana tumemchoka na siasa zake za kitoto zisizotupa maendeleo yoyote hadi sasa hatuwakilishi bungeni akitumikia yake

Karibu sana mh Paul Makonda, jimbo la kawe linakuhitaji!
Mpeleke jimbo la kijijini kwenu ulipotoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atagombea kwa jina gani Bashite au Christian? Maana uliza kilichomkuta Kihiyo jimbo la Temeke. Unfortunately maisha yake ya kisiasa ni mafupi mno mtu pekee anayehifadhi uhalifu wake wa kutumia vyeti na jina lisilo lake ni JPM
100%
 
Haujamalizia ni kwa watu wa imani yenu tu! Wengine jali mabaya zaidi.

Mkuu kwenye sifa mpesifa zake sisi wakristo tunaambiwa jali mema zaidi kuliko mabaya

Mh akiutaka huo uwaziri hata kesho anakuaa

Tusaidie analijengaje jiji la dar kuwa ktk ubora nikimaanisha barabara nk..Tusikimbilie udhaifu hakuna alieperfect hanijui mh nafurahi kila akionhea anasema hili hakuna aliesawa sawia tunaishi kwa rehema ...Maombi yangu tuungane na mh rc na wengineo waliojitoa kwa ajili ya maendeleo ya wananchi na watu wake hatakama hitolipwa duniani na mungu kizazi chako.Kitaishi kama mfalme kwa yale uliowatendea usiowajua
 
Makonda ni habari nyingine kabisa.Wauza unga na mawakala wao,wanamchukia sana
 
Jana J5 nilimsikia Mh.Waziri Mkuu akisema atamkabidhi Mh.Rais report ya tume kuhusu Tanzanite na Almasi.Nadhani tuanzie hapo kuipata Tanzania mpya....otherwise naona kama vile wataendelea kutuchezea......GO....GO
..Mh.Rais vaa miwani ya mbao na usiwaonee aibu.
 
Wakuu

Nachelea kusema kwa sasa mh Paul Makonda hana mpinzani kwa jiji zima kufuatia vita aliyopigana nayo na kuishinda

Ni wazi RC huyu wa Dar anauwezo mkubwa kiutawala na mbunifu katika kutuletea wananchi maendeleo

Ushauri, Paul Makonda kwa haya unayotufanyia wanaDar es salaam hakika unafaa sana kuwa mbunge wa moja ya majimbo ya jiji hili
Haikuhitaji wewe urudi huko Koromije ukaanze kupambana na akina Gwajima wakati unaweza na wananchi tunakupenda tunakuhitaji pia

Kwa kuanzia tu, (majimbo yote unafaa) lakini zaidi ni vema ukatuondolea huyu Halima Mdee huku Kawe maana tumemchoka na siasa zake za kitoto zisizotupa maendeleo yoyote hadi sasa hatuwakilishi bungeni akitumikia yake.

Karibu sana mh Paul Makonda, jimbo la kawe linakuhitaji!
Huu upuuzi nao wa kupitiliza kwakweli.
 
Ameshakamlisha yapi
Kila analopanga hua halifanikiw
Linaishia njian tang awe mkuu wa wilaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimdanganye. Akijaribu tu suala la jina na vyeti litaibuka na yeye hatakuwa radhi kujiweka katika hali ya kutoa majibu. Sasa hivi kwa cheo alicho nacho ana kinga. Akiwa mgombea kinga hiyo hatakuwa nayo.
[QUOTE="Mmawia, post: 23278529, member: 165175"
 
Back
Top Bottom