Recent content by Sahar

  1. Sahar

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Rais Unatengeneza Kundi Jipya la Janjajanja na Wala Nchi kwa Mgongo wa Kuisaidia Serikali

    Haters wanasema kaenda kupandikiza mtoto... Ni kitambo amekuwa akisemwa na Mange kuwa hana uwezo wa kujaza...
  2. Sahar

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Hivi ni nani anayepata umeme unit moja kwa shillingi 100?

    Kumbe hapo bila kuhusisha friji,pasi na vifaa vya aina hiyo!? Kwa kuwa naona 2.5units kwa siku( 24hrs)chache...
  3. Sahar

    JamiiForums Tanzania Ni aibu show ya Kiba Mombasa kama yupo msibani

    Hao wa YouTube sio watu!? Kwakuwa umesema nisipende kuwasikiliza watu!! By the way hakuna la ziada zaidi ya kusema Show iliahirishwa kutokana na uchache wa watu. Japo sijui imeahirishwa mpaka lini...
  4. Sahar

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Hivi ni nani anayepata umeme unit moja kwa shillingi 100?

    Zaidi ya hizo taa 9 hakuna kilacho umeme kingine!?
  5. Sahar

    JamiiForums Tanzania Ni aibu show ya Kiba Mombasa kama yupo msibani

    Promota alisema watu walibaki wachache ukumbini hivyo ikaahirishwa. Au wewe unadhani K hakufika kabisa ukumbini!!?
  6. Sahar

    JamiiForums Tanzania Ni aibu show ya Kiba Mombasa kama yupo msibani

    Kwenye hiyo Video hawaongei watu kabisa!?
  7. Sahar

    JamiiForums Tanzania Ni aibu show ya Kiba Mombasa kama yupo msibani

    Sasa kama ni hivyo, mbona ile show ya Dodoma tuliambiwa hakufanya kwa sababu watu walikuwa wachache ukumbini (perugina club)!?
  8. Sahar

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari ya Serikali Oldonyo Sambu, watoto wanalipa Tsh 440,000 kwa mwaka

    Hiyo shule bila shaka ni miongoni kwa shule ambazo ni za kutwa japo zina hostel na hivyo serikali haihusiki na CHAKULA na malazi kwa wanafunzi.
  9. Sahar

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Historia ya Wahehe wa Iringa

    Mkuu secret... Tunasubiri muendelezo...
  10. Sahar

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kufuta meseji ya WhatsApp uliyokosea kutuma

    Mwanaume hawezi kukubali kirahisi hivyo... Ambambikizie kilainishi kwenye begi lake pindi akirudi... Hakika hapo lazima atakuwa amemaliza...
  11. Sahar

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kufuta meseji ya WhatsApp uliyokosea kutuma

    Njia zote hizo zikibuma jitahidi upate K-y jelly(kilainishi) akirudi tu mbambikizie kwenye mkoba wake... Hapo kibao kitakuwa kimegeuka...
  12. Sahar

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa Mnyika: Atumia Pesa Yote ya Mkopo wa Gari Kufanya Uwekezaji DSE

    Mambo ya fedha...
  13. Sahar

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kitambi bila Yesu Hilo ni Jipu...!!
  14. Sahar

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 24,000 Kutojiunga na kidato cha 5 sio inshu: Tupo busy tunatumbua MAJIPU

    Hata D za physics nyingi tu PCM zimeenda...
  15. Sahar

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 24,000 Kutojiunga na kidato cha 5 sio inshu: Tupo busy tunatumbua MAJIPU

    Tusubiri, naamini kutakuwa na second selection...
Back
Top Bottom