Shule ya Sekondari ya Serikali Oldonyo Sambu, watoto wanalipa Tsh 440,000 kwa mwaka

Elimu ndo bure! Chakula na malazi unalipia... Magereza tu ndo kuna malazi na chakula bure kama vp mfanyiw mwanao mpango apate nafasi magereza asubuhi aende shule hapo kila kitu kitakuwa free!!
 
Kwa ninavyofahamu;
1. Kuna shule za serikali za kutwa-hizi wanafunzi wanasoma bure(elimu bure).

2. Kuna shule za serikali za bweni mf. Mzumbe, Ilboru, Minaki, Pugu,Ruvu girls n.k hizi wanafunzi hulipia 75,000/- kama sikosei kwa ajili ya kuchangia chakula. Serikali pia hutoa ruzuku ya chakula kwa shule hizi.

3. Kuna shule za serikali zenye hosteli-hizi wanafunzi hujilipia wenyewe chakula yaani serikali haipeleki huko ruzuku ya chakula. Shule hizi wazazi hupangiwa kiasi cha kuchangia ili watoto wao waweze kula shuleni.
Nadhani hiyo shule itakua kundi la tatu,mtoa mada afanye uchunguzi yakinifu.
 
Hata mimi juzi nlikuwa mkoa wa iringa,wilaya ya iringa vijijini nilishangaa kuona shule ya serikali (secondary )iliyopo kijiji vha kiwele inatoza zaid ya 400,000 wanafunzi wake.....au ndio hapa kazi
 
Shule ya Sekondari ya Serikali OLDONYO SAMBU yenye usajili namba s0977 iliyopo Wilaya ya Arusha Vijijini (O-level) wanafunzi wake wanatozwa kiasi cha Tsh 440,000 kwa mwaka kwa ajili ya malipo ya mchango wa bweni na chakula. Mabweni yamejengwa ndani ya eneo la shule lakini watoto wanayalipia.

NAOMBA KUFAHAMU KAMA KUNA SHULE ZA SERIKALI ZA O-LEVEL AMBAZO HAZINUFAIKI NA ELIMU BURE.
Mkuu Sir Ruta, kwa shule za Serikali za O-Level zenye watoto wanaolala shuleni zipo za aina mbili;

i) Shule zenye Bweni: Hizi gharama za chakula na kulala zote zinabebwa na Serikali. Mwanafunzi anagharamia vitu vyake binafsi tu kama vile godoro, shuka, sabuni, nk.

i) Shule zenye Hostel: Hizi ni shule ambazo Serikali haigharamii wanafunzi kula na kulala. Gharama zote zinabebwa na mwanafunzi na mzazi/mfadhili.

Fuatilia hiyo shule kama ina bweni au hostel.
 
Nimesoma Oldonyo Sambu Seminary/ Arusha Seminary/Immaculate Heart of Mary Seminary , naifahamu vizuri tu hiyo Sekondary ya Oldonyo Sambu almaarufu Mavumbini. kwa kipindi nilipokuwa shule 'Donyo" Hapakuwa na hospitali, umeme. maji yalikuwa yana upungufu wa madini yakawa yanapindisha mifupa ya viungo vya watoto waliozaliwa pale. Nadhani kipindi kile hali ya hiyo sekondari ilikuwa mbaya sana.

Tatizo la huduma mbovu za kijamii Oldonyo Sambu ni kutokana na udogo wa utashi wa kisiasa. Mfano ni hiyo wanafunzi kulipia mabweni, lipo miaka nenda; rudi ila hakuna mtu anayethubutu kulisema kwa mamlaka husika.
Sijajua kama hospitali, umeme na maji vimefika mpaka sasa, hao wanafunzi kupata sifuri, sio mapenzi yao ni mazingira sio rafiki kwani eneo hilo hilo, ipo Seminary inayofanya vizuri sana Mkoa na taifa.

Ora et Labora, Deus adest son has! Ora! Ora! Ora! et Labora!
nimekufuatilia nikijua unamalizia vizuri sasa ndo umemaliziaje?
 
Mkuu Sir Ruta, kwa shule za Serikali za O-Level zenye watoto wanaolala shuleni zipo za aina mbili;

i) Shule zenye Bweni: Hizi gharama za chakula na kulala zote zinabebwa na Serikali. Mwanafunzi anagharamia vitu vyake binafsi tu kama vile godoro, shuka, sabuni, nk.

i) Shule zenye Hostel: Hizi ni shule ambazo Serikali haigharamii wanafunzi kula na kulala. Gharama zote zinabebwa na mwanafunzi na mzazi/mfadhili.

Fuatilia hiyo shule kama ina bweni au hostel.
kumbe kuna tofauti kati ya bweni na hostel
 
Jamani hiyo pesa ukiiangalia kwa macho ya kwaida ni kubwa sana ila kimatumizi kwa mwanafunzi wa bweni ambaye serikali haichangii ni ndogo sana!!! Chukulia uji asub, chakula mchana na jioni na bado malazi afu kokotoa ndo ujue kiasi gani wanapunjwa au wanapunja shule
!!!
kwahiyo hii shule ni ya private?
 
you better be kidding........
DSCF6457.JPG

Woow it's so sweet of you when you are back to where you were before. Photo....
 
the fine wine tastes good in its original package....I'm humbled....................

Mmmhh am worried.... is it really you....?
Am not used to see you like this.... or you've already started to celebrate the festive season. ..

By the way, thanks for appreciating... and happy again to see the other side of you...

Happy Festive Season Ty.....
 
2,700,000 imechomoka hapo efatha bwagamoyo kwa mwaka.bado kuna mtu analalamika laki 4 duh:eek:
 
Hiyo shule bila shaka ni miongoni kwa shule ambazo ni za kutwa japo zina hostel na hivyo serikali haihusiki na CHAKULA na malazi kwa wanafunzi.
 
s not gone off duty
Mmmhh am worried.... is it really you....?
teheteh...Tyta has not gone off duty to think this is an institutional account...
QUOTE="Kasinde, post: 18947757, member: 192464"].Am not used to see you like this.... or you've already started to celebrate the festive season. ..[/QUOTE]
messiah mode activated........:D

..By the way, thanks for appreciating... and happy again to see the other side of you...
Happy Festive Season Ty.....
my pleasure.....enjoy the remaining 10 days........We will see how next year will pan out...
 
Ooh that's good, have a good day then.
Though am still smiling as asking myself. .... is it really him....mean Ty..... mmmhhh ok. Tikke.
 
Back
Top Bottom