Ni aibu show ya Kiba Mombasa kama yupo msibani

Shoo ya DIAMOND ile ya uwanjani MAYOTTE haikufanyika kwa sababu promoter hakutimiza masharti,we zungumzia ya huyo "king "wenu anayelilia tuzo,wakati alishasemaga muziki wake ni mkubwa kuliko tuzo.
Hakutimiza masharti wapi bhana kuwa mkweli.

Baada ya show ya ukumbini kubuma Dimond na baba ake Sallam wakagoma kufanya show ya uwanjani maana ingekuwa aibu
 
Shoo ya DIAMOND ile ya uwanjani MAYOTTE haikufanyika kwa sababu promoter hakutimiza masharti,we zungumzia ya huyo "king "wenu anayelilia tuzo,wakati alishasemaga muziki wake ni mkubwa kuliko tuzo.
Masharti gani mkuu? ?nlikuwa sijui kama show haikufanyika
 
Tehteh diamond bana.... Wimbo 1wa kiba Povu beseni zima je angetoa na nyigine c mngekufa na presha?
yani aje kwa ngoma 3za chibu lkn aje bado iko juu.
Lol
 
Mbona watu wachache sana afu picha zimepigiwa mbali sana afu full cropping za kutosha......daah aibu sana sizani kama watu 300 wanafika kwny hii show ni aibu sana

Ushauri msanii ukiona show imebuma jaribu kuuchuna usiposti picha mbona mond show zake zinapobuma hapostigi picha anakausha tu kwa mfano show ya uwanjani ile aliyofanya Mayotte hakuposti unajua tatzo nn

Kiba siku nyingne ukiona show yako imebuma kausha tu show gan mbovu iv watu wachache kweli afu unajisifu unakubalika mombasa punguzeni sifa zitawaponza
huyu jamaa mbona anapenda sana kwenda Mombasa??? Kuna nini huko Mombasa??? Uchunguzi wa kina ufanywe na mkuu Makonda..
 
Tuma video ya show hiyoooo...maana umezaliwa kutokupenda vya wezako..mwaka mpya baado unamajungu
 
Diamond unamuweka na davido, tecno, wizkid, A.K.A nk kumuweka na ally kiba ni kufanya makosa makubwa maana kiba ndo anaanza kuchukua tuzo alizoanza kuchukua mond 2012, kwa kifupi kuna distance kubwa kutoka kiba mpaka kumfikia mond pia kuna utofauti mdogo sana kati ya msanii kama mavoko na kiba.
Evidence
 
Ishu ni show au kulipwa Mkwanja??
Ninavyojua Mimi,
Msanii anapaswa kulipwa advance kabla ya kuanza hata safari,
Halafu Anamaliziwa Pesa yake kabla ya kupanda Jukwaani,
Swala la Show Kujaa au Kutokujaa sidhani kama linamuhusu yeye sana, hizo ni Juhudi za waandaji wa show ili wauze ticket nyingi na kupata faida.
Kwa hiyo KIBA kufanya show Mombasa, hata kama ni kila weekend ni sawa tu cha Msingi analipwa pesa yake inatosha.
Huwezi kuchagua pa kufanyia show, Ni kama Business nyingine yeyote Huwezi kuchagua Mteja, Mteja ni yeyote yule anayefikia Bei yako.
 
Sasa kama ni hivyo, mbona ile show ya Dodoma tuliambiwa hakufanya kwa sababu watu walikuwa wachache ukumbini (perugina club)!?
 
Alichelewa kufika baada ya kumisi flight ya kutoka Nairobi Kenya to Dsm, alifika saa 7:40 usiku wakati alipaswa kufika saa 4 usiku, Mashabiki waliondoka, akaamua kuahirisha kwa sababu swala la kumisi flight huwa inatokea sana, hata Ommy Dimpoz aliwahi kumisi flight Amsterdam wakati anaelekea USA kufanya show na aliahirisha, hata Chris Brown last time in kenya alitamani kupanda mapema ili asimisi flight, Kumbuka Ndege huwa hazisubiri kwa sababu wanajua kabisa anga la Tanzania wanapaswa kufika au kupita saa ngapi, haya ya kumisi flight ni kawaida sana, kuna watu wanafika airport 1 hrs before flight take off, huingiiii!!! sanasana kukusaidia wanakubadilishia flight.
Ingia millardayo.
 
Sasa kama alimis flight na akasema show watairudia tar 28 mbn picha hatuzioni.....
 
Tehteh diamond bana.... Wimbo 1wa kiba Povu beseni zima je angetoa na nyigine c mngekufa na presha?
yani aje kwa ngoma 3za chibu lkn aje bado iko juu.
Lol
Je kajiandae alioshirikiana na ommy, na lupela kumbe cyo zake au kwa kuwa zimebuma mnazikataaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom