Sijawahi kusikia profesa mbunge akitoa hoja ya kiprofesa,zaidi Huwa wako kimya tu hata pale mambo yanapo haribika,wanazidiwa hoja na Mbunge Musukuma.Warudi vyuoni wakafundishe au wajiajiri.
Afadhali wa kwake waliugua na akawauguza na walipotangulia mbele za haki akawazika.Maumivu yake hayalingani na mzazi wa mtoto aliyetekwa akiwa mzima wa afya na kupotezwa maxima au akaokotwa ameuawa Kwa kutobolewa macho.Yeye ashukuru Mungu watoto wake walikufa kifo Cha kawaida na makaburi Yao...
Tatizo tunapeleka watu Bungeni wakisha fika Kule hawafanyi tuliyo watuma,akili zao zote zinawaza kupata Tena ubunge Kwa awamu inayofuata Kwa hiyo Kwa hali hii,wanacho kifanya ni kuwa karibu na serikali ili mwisho wa siku waonekane walikuwa wema na hawakuisema vibaya.Tena Mimi naona wakati...
Asante sana boss,ubarikiwe,yaani mpaka nashindwa kuelewa hakimu kahukumu hii kesi Kwa kumpa mpinzani wangu ushindi Kwa Sheria ipi,nimeumia sana nikiwa kama binadamu,sijui hayo makaburi na miti iliyomo ndani ya kiwanja itakuaje kisheria.
Leo tarehe 26.2.2025 hukumu imetoka na hakimu kampa ushindi mujibu maombi,kinacho nisikitisha na kunishangaza ni Namna gani mpinzani alivyo pata huo ushindi kwani Toka kesi inaanza mpaka kusikilizwa Kwa kesi husika hakuwa na hoja za msingi Wala vielelezo vya msingi kumwezesha kupewa...
Israel ana haki ya kuwafyeka magaidi wote na Nina Imani Kila gaidi wa hamasi atalambishwa mchanga,uzuri wa Israel ni kama kelele za chura hazimuzui ng'ombe kunywa maji,watapiga kelele weeee lakn mpaka lengo litimie,Kwa Sasa wamebananishwa sehemu Moja na hawana pa kutokea,watakufa kama kuku wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.